Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana thos works...tena haswa kama unamtoto uwe unamkanda na mafuta hayo...mabichwa hayo makavu utaachaje kujisahau sahau...yamejaa masumu yanayotoka kwenye madawa yenu ya nywele...Utaniambia ninywe alovera sasa.
Pumzika vya kutosha na ule vyakula vya kitanga unavyopenda.Utarudi kwenye hali ya kawaida.Itakua zimeanza hivo
Hamna cha bahati, uwe serious mumeo yupo shida umeng'ang'ania waume wa wenzio kisa wanavitu unavyopenda..!Mi sina masharti mkuu. Sijabahatika tu.
Utakuwa unasoma namba mbili mbiliYani nahakikisha mara mbili mbili na bado nakosea.
Ukihitaji msaada ni PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inawezekana kweli ujue
Hiyo nilitumiwa. Naanzaje kujilipia king'amuzi hela yote hiyo. Si ningelipa cha 19000 dogo aangalie cartonYaani vyuma vilivyokaza bado tu unalipia king'amuzi elf. 69. Kweli jamaa itabidi tumpe miaka 7 aweze kuwafikia na nyie [emoji12]
Mi hata dawa ya nywele siweki. Nywele zangu ni maalum kwa weaves na wig hizo sumu sina kwa maana hiyo.Hapana thos works...tena haswa kama unamtoto uwe unamkanda na mafuta hayo...mabichwa hayo makavu utaachaje kujisahau sahau...yamejaa masumu yanayotoka kwenye madawa yenu ya nywele...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Nimeelewa ushauri wako woteNakushauri ukienda kufanya miamala kama hiyo, toka na kadi za kingamuzi, kama kutuma hela andika namba kwenye karatasi kwanza, ge.nye zikiwa nyingi ni hatari kwa afya yako[emoji38] [emoji38] tafuta GEGEDO [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Huhuhuhuhh..! Uko serious nikupatie mume faster??Basi nipeleke alipo huyo mume wangu akanioe.
Jaribu kuzinakiri hizo namba kwa kuacha nafasi moja baada ya nyingine maana utakuwa unaumia kila wakati huwa inatokea kukosea ukiwa na mawazo, pole sanaLabda