Ni mbinu ipi Mwanaume uliyetoka 'Kumchiti' Mkeo unatakiwa uitumie pale akikufanyia 'Ambush' ya kufanya nae Mapenzi huku ukiwa Umechoka sana?

Ni mbinu ipi Mwanaume uliyetoka 'Kumchiti' Mkeo unatakiwa uitumie pale akikufanyia 'Ambush' ya kufanya nae Mapenzi huku ukiwa Umechoka sana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana nimkaze / nimchape nao Kesho au Jumatano ila nikijilazimisha Kumbandua leo nina uhakika wa 100% kuwa atanishtukia kuwa nimemchiti na Kitawaka ukizingatia ni Mkorofi / Mtata hakuna mfano.
 
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana nimkaze / nimchape nao Kesho au Jumatano ila nikijilazimisha Kumbandua leo nina uhakika wa 100% kuwa atanishtukia kuwa nimemchiti na Kitawaka ukizingatia ni Mkorofi / Mtata hakuna mfano.
Najua we mzeeni Vitu vigumu vigumu sasa huku wapi au umeibiwa simu na GenC hapana sikutegemei huku I am OUT of this!
 
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana nimkaze / nimchape nao Kesho au Jumatano ila nikijilazimisha Kumbandua leo nina uhakika wa 100% kuwa atanishtukia kuwa nimemchiti na Kitawaka ukizingatia ni Mkorofi / Mtata hakuna mfano.
Kama uko kwa ofisi mpigie simu kumjulia hali. Akikujulia hali mwambie tumbo linakusumbua hayo ya baadae yatakuwa yamejisumbukia
 
Back
Top Bottom