Ni mbinu ipi Mwanaume uliyetoka 'Kumchiti' Mkeo unatakiwa uitumie pale akikufanyia 'Ambush' ya kufanya nae Mapenzi huku ukiwa Umechoka sana?

Ni mbinu ipi Mwanaume uliyetoka 'Kumchiti' Mkeo unatakiwa uitumie pale akikufanyia 'Ambush' ya kufanya nae Mapenzi huku ukiwa Umechoka sana?

Mwambie jamaa yako kama ulivyosema kisha umwambie kuna msiba umetokea mahala fln kwa jamaa yenu
Iwe hivi..
Jamaa yako:shem salama? aisee tumepata msiba huku namtafta GENTA simu yake hapatikani vipi yupo wapi naweza ongea naye? mpe simu .

Kisha ukipewa simu huzunika sana huku akisema una maanisha Binti komwe katutoka? wewe uko wapi sasa hivi?
Poa nakuja hapo sasa hivi niwakute asee.

Usiage kwa wife mwambie ngoja niwaone mara moja.Tokomea kama kuna faulo nyingine cheza cheza hadi saa5 usiku kisha rudi ukiwa na huzuni mno.

Mwambie wife jamaa kakuuma mno lala hadi saa2 kisha piga simu ya mchongo sema vilevile nakuja hapo dk0 nenda rudi saa9 jioni lala au angalia tamthiriya huku ukitafuna nazi mbichi,mihogo mibichi mara karanga hujakaa kwenye sofa upo jikoni kuchukua carrot muda huo parachichi lipo mkono wa kushoto.Yaanu uwe busy kama kuku anatafuta sehemu ya kutagia hadi wife achanganikiwe (akikuuliza mwambie maiti ipo mochwari mmechanga michango maana watasafirishwa kwao mwakareli ndanindani huko ni baadhi tu wataenda kuwakilisha)

usiku peleka moto huku ukimwambia tena maiti ipo mochwari mazishi hadi ijumaa na wana safirisha michango mmechanga wewe hutaenda.

Akikusanukia niite mariam mvaa bikin

GENTAMYCINE
Kweli kabisa, Avatar yako inasema ukifa mke wako asiolewe
 
Tunasemaga Jinoo linaniumaaa sana,unalalaa zakoo.e
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana nimkaze / nimchape nao Kesho au Jumatano ila nikijilazimisha Kumbandua leo nina uhakika wa 100% kuwa atanishtukia kuwa nimemchiti na Kitawaka ukizingatia ni Mkorofi / Mtata hakuna mfano.
[/QUO
 
Nunua daw za maumivu Kisha mwambie nahis kichwa kinaniuma karibu na ubongo😀😀
Utakuja kunishaur mbinu za quba izo mkuu
 
Back
Top Bottom