Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hii iko wazi.Huwa tunasaidiana tu na inajulikana enzi na enziNajua siku nyingi, nilikuwa nawakumbusha tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii iko wazi.Huwa tunasaidiana tu na inajulikana enzi na enziNajua siku nyingi, nilikuwa nawakumbusha tu mkuu
mwambie atengeneze 2kgs nakuja hapo na coke bonge tufurahi mwanawaneSinza ni njema sema Kuna manzi inauza kitimoto hapo kwa remi..... Ni mshangazi fulani hivi.....
Ana balaa airini 😂
kabisa tena raha sana tunasaidiana kupeana style mupya mupyaNa kusaidiwa mnasaidiwa pia. Hilo mkumbuke
Hii ni one way swatch gang.Wanaume lazima tusaidiane mkuu...😁
Ni yeye mwenyewe...Kuna muda zinarukaNajua we mzeeni Vitu vigumu vigumu sasa huku wapi au umeibiwa simu na GenC hapana sikutegemei huku I am OUT of this!
Hahahaha wewe mpka tuonane kwanza 😂mwambie atengeneze 2kgs nakuja hapo na coke bonge tufurahi mwanawane
nipo tegeta kibaoni mkuuu.Hahahaha wewe mpka tuonane kwanza 😂
Hivi upo Dsm ?
Coke sio unyama labda lite au bapa bhn 😂
Kumbe upo tegeta Jana nimetoka hapo nikarudi mwenge kutuliza, ntakupm baadae 😂nipo tegeta kibaoni mkuuu.
ah mie pombe zimenikataaa basi naja na sparkling water hapo mwanawane
Kweli kabisa, Avatar yako inasema ukifa mke wako asioleweMwambie jamaa yako kama ulivyosema kisha umwambie kuna msiba umetokea mahala fln kwa jamaa yenu
Iwe hivi..
Jamaa yako:shem salama? aisee tumepata msiba huku namtafta GENTA simu yake hapatikani vipi yupo wapi naweza ongea naye? mpe simu .
Kisha ukipewa simu huzunika sana huku akisema una maanisha Binti komwe katutoka? wewe uko wapi sasa hivi?
Poa nakuja hapo sasa hivi niwakute asee.
Usiage kwa wife mwambie ngoja niwaone mara moja.Tokomea kama kuna faulo nyingine cheza cheza hadi saa5 usiku kisha rudi ukiwa na huzuni mno.
Mwambie wife jamaa kakuuma mno lala hadi saa2 kisha piga simu ya mchongo sema vilevile nakuja hapo dk0 nenda rudi saa9 jioni lala au angalia tamthiriya huku ukitafuna nazi mbichi,mihogo mibichi mara karanga hujakaa kwenye sofa upo jikoni kuchukua carrot muda huo parachichi lipo mkono wa kushoto.Yaanu uwe busy kama kuku anatafuta sehemu ya kutagia hadi wife achanganikiwe (akikuuliza mwambie maiti ipo mochwari mmechanga michango maana watasafirishwa kwao mwakareli ndanindani huko ni baadhi tu wataenda kuwakilisha)
usiku peleka moto huku ukimwambia tena maiti ipo mochwari mazishi hadi ijumaa na wana safirisha michango mmechanga wewe hutaenda.
Akikusanukia niite mariam mvaa bikin
GENTAMYCINE
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana nimkaze / nimchape nao Kesho au Jumatano ila nikijilazimisha Kumbandua leo nina uhakika wa 100% kuwa atanishtukia kuwa nimemchiti na Kitawaka ukizingatia ni Mkorofi / Mtata hakuna mfano.
[/QUO
Nunua daw za maumivu Kisha mwambie nahis kichwa kinaniuma karibu na ubongo😀😀Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana nimkaze / nimchape nao Kesho au Jumatano ila nikijilazimisha Kumbandua leo nina uhakika wa 100% kuwa atanishtukia kuwa nimemchiti na Kitawaka ukizingatia ni Mkorofi / Mtata hakuna mfano.