GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Najua we mzeeni Vitu vigumu vigumu sasa huku wapi au umeibiwa simu na GenC hapana sikutegemei huku I am OUT of this!Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana nimkaze / nimchape nao Kesho au Jumatano ila nikijilazimisha Kumbandua leo nina uhakika wa 100% kuwa atanishtukia kuwa nimemchiti na Kitawaka ukizingatia ni Mkorofi / Mtata hakuna mfano.
Acheni kuwa Serious wakati wote halafu GENTAMYCINE huwa sipendi Kukaririwa au Kutabiriwa hivyo usinipangie cha Kuandika JF sawa?Najua we mzeeni Vitu vigumu vigumu sasa huku wapi au umeibiwa simu na GenC hapana sikutegemei huku I am OUT of this!
I am OUT of this!
Nimeipenda sana hii Mkuu na kucheka sana pia. Shikamoo.Mdanganye kumtoa chakula cha jioni alafu wewe lewa sana.
Kama hulewi kula kula hovyo kisha singizia tumbooo...
Wewe unavyolalwa na Wanaume wengi huwa unapata faida gani sasa?Ujinga tu kulala na . wanawake wengi unapata faida gani sasa 😡😡
Wanaume lazima tusaidiane mkuu...😁Nimeipenda sana hii Mkuu na kucheka sana pia. Shikamoo.
We hujuiUjinga tu kulala na . wanawake wengi unapata faida gani sasa 😡😡
bnge la mbinu. asanteMdanganye kumtoa chakula cha jioni alafu wewe lewa sana.
Kama hulewi kula kula hovyo kisha singizia tumbooo...
Kama uko kwa ofisi mpigie simu kumjulia hali. Akikujulia hali mwambie tumbo linakusumbua hayo ya baadae yatakuwa yamejisumbukiaWanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana nimkaze / nimchape nao Kesho au Jumatano ila nikijilazimisha Kumbandua leo nina uhakika wa 100% kuwa atanishtukia kuwa nimemchiti na Kitawaka ukizingatia ni Mkorofi / Mtata hakuna mfano.
Karibu sanaa 😁bnge la mbinu. asante