kweli nimeamini kama huna akili kama mzabzab usioe maana kila leo akili inabidi itumike kuwazubasha hawa wanawake.Karibu sanaa π
Haha hiyo ni mbaya mkuu...saa zingine wanajua ukweli ila wanataka waone ukiwadanganya...hivyo wewe danganya tu bila wasiwasi..kweli nimeamini kama huna akili kama mzabzab usioe maana kila leo akili inabidi itumike kuwazubasha hawa wanawake.
mie akili kisoda mwee wacha nibaki na nyeto ya mlenda
ah mie kudanganya ata hiyo akili sina mwanawane. kudanganya nako kwataka akiliHaha hiyo ni mbaya mkuu...saa zingine wanajua ukweli ila wanataka waone ukiwadanganya...hivyo wewe danganya tu bila wasiwasi..
Ya mrenda itakuunguza tumia ya kiwi kutoka kenya utanishukuru.Kwanza inakuwa kama ya punda nyeusii tiikweli nimeamini kama huna akili kama mzabzab usioe maana kila leo akili inabidi itumike kuwazubasha hawa wanawake.
mie akili kisoda mwee wacha nibaki na nyeto ya mlenda
Ndio maana mnakufa mapemaMwambie jamaa yako kama ulivyosema kisha umwambie kuna msiba umetokea mahala fln kwa jamaa yenu
Iwe hivi..
Jamaa yako:shem salama? aisee tumepata msiba huku namtafta GENTA simu yake hapatikani vipi yupo wapi naweza ongea naye? mpe simu .
Kisha ukipewa simu huzunika sana huku akisema una maanisha Binti komwe katutoka? wewe uko wapi sasa hivi?
Poa nakuja hapo sasa hivi niwakute asee.
Usiage kwa wife mwambie ngoja niwaone mara moja.Tokomea kama kuna faulo nyingine cheza cheza hadi saa5 usiku kisha rudi ukiwa na huzuni mno.
Mwambie wife jamaa kakuuma mno lala hadi saa2 kisha piga simu ya mchongo sema vilevile nakuja hapo dk0 nenda rudi saa9 jioni lala au angalia tamthiriya huku ukitafuna nazi mbichi,mihogo mibichi mara karanga hujakaa kwenye sofa upo jikoni kuchukua carrot muda huo parachichi lipo mkono wa kushoto.Yaanu uwe busy kama kuku anatafuta sehemu ya kutagia hadi wife achanganikiwe (akikuuliza mwambie maiti ipo mochwari mmechanga michango maana watasafirishwa kwao mwakareli ndanindani huko ni baadhi tu wataenda kuwakilisha)
usiku peleka moto huku ukimwambia tena maiti ipo mochwari mazishi hadi ijumaa na wana safirisha michango mmechanga wewe hutaenda.
Akikusanukia niite mariam mvaa bikin
GENTAMYCINE
Kufa ni mipango ya Mungu.Kikubwa tumesaidiana.Ndio maana mnakufa mapema
Na kusaidiwa mnasaidiwa pia. Hilo mkumbukeKufa ni mipango ya Mungu.Kikubwa tumesaidiana.
Tulia wewe! lazima upangiweusinipangie cha Kuandika JF sawa?
Oya za leo umezipata mkuuTafuta odds tano wewe msaka ukimwi
Cha mtu huliwa na mtu wewe ndo unajua leo?Na kusaidiwa mnasaidiwa pia. Hilo mkumbuke
Jombaa ni adjee mzeeah mie kudanganya ata hiyo akili sina mwanawane. kudanganya nako kwataka akili
kwema mwanawane leta habari za hapo sinzaJombaa ni adjee mzee
Mishangazi ilikuja afu jumatatu kunapoa ujue labda jioni mwenye duka ana wa direct hapakwema mwanawane leta habari za hapo sinza
vipi mishangazi imeshaanza kuingia hapo kwako kununua viwalo baada ya maokoto ya valetines
Sinza ni njema sema Kuna manzi inauza kitimoto hapo kwa remi..... Ni mshangazi fulani hivi.....kwema mwanawane leta habari za hapo sinza
vipi mishangazi imeshaanza kuingia hapo kwako kununua viwalo baada ya maokoto ya valetines
Najua siku nyingi, nilikuwa nawakumbusha tu mkuuCha mtu huliwa na mtu wewe ndo unajua leo?