Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

Kweli mkuu,mda mwingine wanashindwa hata kutafsiri maneno sahihi kama yalivyosemwa na makocha ama wachezaji.
Hivi mbali na kuwa na makala magazetini Edo huwa anatangaza kwenye kituo gani?
 
Nikweli umesema
 
Nikweli umesema
 
Mtu anayejua hapa bongo ni Leaky Abdalah na Eddo Kumwembe,hao wengine wababaishaji tuu,kuna siku Maulid Kitenge aliniacha hoi,akidai eti mshindi wa Kombe la Dunia hapati zawadi ya pesa.
Dr leaky' ally mayai na Edo kumwembe kidogo namuelewa Andy masale
Leaky Abdallah ndio namkubali
Wamempiga fitina Sana amekaa pembeni
Ao kinashafii awajui chochote Mimi binafsi nikisimama nae namuacha mbali
Mtu anayejua hapa bongo ni Leaky Abdalah na Eddo Kumwembe,hao wengine wababaishaji tuu,kuna siku Maulid Kitenge aliniacha hoi,akidai eti mshindi wa Kombe la Dunia hapati zawadi ya pesa.
Jamaa anakumbushiaga matukio tu ya zamani, upande wa kuelezea ishu za kiufundi, tactics za uwanjani ni MWEUPE zaidi ya Mzee akilimali.
Kijana Jeff Leah anakuja kwa kasi na yuko neutral ktk chambuzi zake ingawa ni Simba na Manu, haingizagi hisia kama yeye ni mchambuzi ila siku akiongeaga kama mdau wa soka anaonyeshaga hisia zake.
Yuko vizuri, anajua tactics za uwanjani.
 
Kweli mkuu,mda mwingine wanashindwa hata kutafsiri maneno sahihi kama yalivyosemwa na makocha ama wachezaji.
Hivi mbali na kuwa na makala magazetini Edo huwa anatangaza kwenye kituo gani?
Mchambuzi Super Sports South Africa
 
Soka la bongo

Ally Mayay Tembele

Jofrey Leah

Eddo Kumwembe

James Samweli

Gift Macha

ULAYA

Dr Leacky

Maestro

Eddo Kumwembe
 
Shafiih anacopy na kupaste news za magazete ya ulaya na kitendo cha kujifanya yeye ndo hashauriki kimtazamo ndo kinamharibia sana,,,,,,,EDDO KUMWEMBE NAMKUBALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…