mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Kweli mkuu,mda mwingine wanashindwa hata kutafsiri maneno sahihi kama yalivyosemwa na makocha ama wachezaji.Era zinatofautiana,
Wengi wetu ambao ni Old Schools tutamtaja Dr Leakey Abdallah, ambapo then unakuja kumwona Edo Kumwembe anajaribu kuiga vitu vingi kutoka kwa mzee huyu. These guys go extra mile to give you some of the info that you don't easily find on the internet.
Hawa wengine unakuta ni copy paste kutoka kwenye mitandao ya majuu, they exactly tell what we also have read.
Hivi mbali na kuwa na makala magazetini Edo huwa anatangaza kwenye kituo gani?