Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Mi nahisi nachukiwa sana, haiwezekani mada yangu muhimu ya tozo ipate replies 2 tu bila likes hata moja huku mada ya uongo ya Mpwayungu Village ya kwamba alienda Rwanda kula ugali tu na kugeuza kurudi inapata replies na likes nyingiii. Nachukiwa sana!
 
Mimi hua namchukia mtu anaeingilia masalahi yangu tu. Kwanza hakuna hata ninae mfahamu humu naanzaje kuwachukia
 
Hii nayo ni post na inaruhusiwa kuwa hewani?
 
Me kiranga simchukii ila naonaga watu wanamwona ana akili nyingi lakini me naona wa kawaida Sana yaani hizo akili zinazosemekana anazo NI akili hewa ..gentamicine kiukweli simpendi na wale wote ambao wanapenda kujadili mtu na sio ishu yaani mtu anajifanya kukujua Sana .kwa mfano labda thread ya zamani uliwahi kusema unaishi iringa then baada ya miaka mitatu ukaja ukaanzisha thread nyingine anakuja boya kucomment eti vipi Bado uko iringa huu NI ujinga na shobo
 
Pendaneni acheni kusagiana kunguni mwisho wa siku jamvi linaburudisha linafurahisha na lina elimisha hamna haja ya kuchukiana, by the way wengi hatujuani humu kwa sura wala lolote tunajuana kwa contents zetu tu, uzi huu umekaa kimatagamataga sana.
 
Hahahahh na anashinda google eti eeh?[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…