cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kuonesha ni hatariii.Na wino mwekundu km wa kombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kuonesha ni hatariii.Na wino mwekundu km wa kombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maadui wataungana kuwa marafikii, uduguuu sikuweziii.Acha kabisaaaa JF itasimama kwa muda, majukwaa yote yataungana kucheck ilo tukio la kihistoria kuwahi kutokea JF
Maadui wote wataungana kuwa marafiki, kifupi itakuwa tafrani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu achana na sifaa bhanaa wee, nitumiee hukooo.
Nidharirikee mjinii nawee upooo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahivi nadevelop kutokaa uduguuu, hadi kuwa Chawaaaaa.
Habari ndo hiyooooo
Hadi flan na flan wataunganaa? Mhhh hunidanganyi kweliiiAcha kabisaaaa JF itasimama kwa muda, majukwaa yote yataungana kucheck ilo tukio la kihistoria kuwahi kutokea JF
Maadui wote wataungana kuwa marafiki, kifupi itakuwa tafrani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maadui wataungana kuwa marafikii, uduguuu sikuweziii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, tobaaahNasemaje watakuwa marafiki kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi flan na flan wataunganaa? Mhhh hunidanganyi kweliii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa pesa hizo talakaa hata ziwe 500 huwezi stukaa, hebu sema vizurii uduguu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe sasa?!!
Bado hujanishawishi, nipoze kwanza maumivu ya kupewa talaka 100 kwa wakati mmoja
Na ajalie yale yetu yabaki yetu. Na tusije chat na watoto maana tunaweza dhalilika na kukimbia jf🤣🤣Wataungana nakwambia mwamba akifungua piem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wote mimi na yeye tutajipa life ban
Wazee kwa vijana wote watakua same age ili wasipitwe tu na hilo tukio la kihistoria
Wewe acha sema Yesu ndio mlinzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa pesa hizo talakaa hata ziwe 500 huwezi stukaa, hebu sema vizurii uduguu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipee kablaa sijapotezaa mood ya kuisomaa.Useme talaka yako unapokea kwa njia ipi? Isije kuchanika kabla mlengwa hujaipata ooh
Bas visokorokwinyo vimetega vinasoma, vinaachaa kulala na hili baridi sijui km wameoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatamani iwe kweliiiiiii
Na ajalie yale yetu yabaki yetu. Na tusije chat na watoto maana tunaweza dhalilika na kukimbia jf[emoji1787][emoji1787]
Ukishatokaa kanisani, saidia wasiojiweza na maskini, mie ni m1 wapo, nasubiri msaada wako kesho.[emoji120][emoji120]Yetu yapi nawe, unaanza uchawi nikose baby mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona uwanga mapema, huyu boss hataki uswahili hebu tulia bas
Afu naenda kulala kesho nawahi misa ya kwanza church dada mwenyekiti wa viwawa [emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipee kablaa sijapotezaa mood ya kuisomaa.
Ukishatokaa kanisani, saidia wasiojiweza na maskini, mie ni m1 wapo, nasubiri msaada wako kesho.[emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23]
Lugha yanguuuu.Yetu yapi nawe, unaanza uchawi nikose baby mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona uwanga mapema, huyu boss hataki uswahili hebu tulia bas
Afu naenda kulala kesho nawahi misa ya kwanza church dada mwenyekiti wa viwawa [emoji4][emoji4]
Lugha yanguuuu.
Usichat na watoto siku wanaweza yaleta hapa, hivyo hivyo kwanguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo sijui nmeeleweka sasa
Hapo sawa ila cocastic afunge yakePm nimefunga muda sitaki kero ss hivi, msg unazikuta nyingi km uko fb
Halafu upuuzi mtupu hakuna cha maana
Nimeachia watu wachache tyuu wanaojielewa tunaopeana ushauri wa kibiashara za wahabeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]