Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
[emoji16][emoji16] unazingua kijana.Avatar yake tu me hoiiii.. Ila asjekua ni yule mdada aliyepewa 7,800/=
Distributed Denial-of-Service
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16] unazingua kijana.Avatar yake tu me hoiiii.. Ila asjekua ni yule mdada aliyepewa 7,800/=
Distributed Denial-of-Service
[emoji23][emoji23][emoji23] kichwa chako.yna2 najua unajua sababu
2020 nakuja kupiga kura Bongo kimyakimya.
Nipo tandahimba huku 😭😭😭😭, nimemiss mtokoThe code i promised it's now tabata ukuje tule bata mpaka kuku waone wivu ' kitambaa cheupe'
Ajieleze mwenyewe. Ni utamu wa maneno tu I guess. Niliyemgaia kakaa kimyaaaa
Swali lako ni lipi mume wangu?
Kwa jinsi ulivokaa ughaibuni huko utakuwa sio raia wa bongo tena, we baki na trump wako2020 nakuja kupiga kura Bongo kimyakimya.
Siku hizi wanakamata airport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh. Wabongo wanatuvua uraia kuanzia serikali mpaka raia.Kwa jinsi ulivokaa ughaibuni huko utakuwa sio raia wa bongo tena, we baki na trump wako
Nipo tandahimba huku 😭😭😭😭, nimemiss mtoko
Take faster ukuje pande hii 🍻🍺🦆🍻Nipo tandahimba huku 😭😭😭😭, nimemiss mtoko
Nitumie tu pesa ya mafuta utaniona hapo dakika sifuriTake faster ukuje pande hii 🍻🍺🦆🍻
Swali lako ni lipi mume wangu?
Tatizo nyota. Acha wivu basiii...kwani we unanipenda pia?
Tatizo nyota. Acha wivu basiii...kwani we unanipenda pia?
M what do you wanna know mwanangu?Mkuu can you please explain about Relief Mirzska. He seems to be a smart guy. I wanna know more about him.
Distributed Denial-of-Service
Ha haaa haya bana nitatekeleza hilo.
manengelo huyu sio shemeji yako tena ole wako nikusikie
One day man!Hapana mkuu sipo DSM, Nipo pande hizi za Kaskazini.
Distributed Denial-of-Service
Mchukue tu bana kwan sh ngapi? Dah ila inauma sana kupigwa kibuti nusu saa kabla ya mwaka mpya kuanza.Jamni! Mwenzako navyotafta mume wa kumpumzikia we unampiga kibuti?jaman jaman! Shaurirooo!