Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mwamba!View attachment 2454555
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.
R.I.P JPM.
@ nduli, mnyama katili, ila alikuwa muwajibikaji mwenye maamuzi ya kukurupuka yaliyoligharimu taifa.View attachment 2454555
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.
R.I.P JPM.
Ndio huwa tunashauri ukitaka kujua watu wana mawazo gani kuhusu marehemu JPM nendeni kwa ground ndio utajua kuwa hamjui !!View attachment 2454555
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.
R.I.P JPM.
Hiki chuma ni kama kilishushwa direct kutoka mbinguni, kinapendwa mnoView attachment 2454555
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.
R.I.P JPM.
Siku zote nawaambia watu JPM ile ni habari nyingine. Kuna siku nilikuwa sehemu kuna mzee alisema mimi sijawahi kuipenda CCM lakini Magufuli nilimpenda sana na Mimi ni mwanacham wa CHADEMA lakini hotuba za JPM tulikuwa tunazisikilza sanaNdio huwa tunashauri ukitaka kujua watu wana mawazo gani kuhusu marehemu JPM nendeni kwa ground ndio utajua kuwa hamjui !!
Mimi sijawahi kuwa mnafiki juu ya JPM ile njemba inapendwa sana kila siku sikosi watu zaidi ya 10 wakisiliza hotuba zake.Hiki chuma ni kama kilishushwa direct kutoka mbinguni, kinapendwa mno
Mungu naomba unisamehe.Hiki chuma ni kama kilishushwa direct kutoka mbinguni, kinapendwa mno
The Magufuli LegacyView attachment 2454555
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.
R.I.P JPM.
Toba Yako imepokelewaMungu naomba unisamehe.
econonistView attachment 2454555