Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
dailypicha_549440521_p_2706932677212216590_1_p_2706932677212216590.jpg

Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizoelezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!

Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapotuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.

R.I.P JPM.
 
View attachment 2454555

Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!

Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.

R.I.P JPM.
Mwamba!
 
@ nduli, mnyama katili, ila alikuwa muwajibikaji mwenye maamuzi ya kukurupuka yaliyoligharimu taifa.

M. V. Kigamboni
 
View attachment 2454555

Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!

Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.

R.I.P JPM.
Ndio huwa tunashauri ukitaka kujua watu wana mawazo gani kuhusu marehemu JPM nendeni kwa ground ndio utajua kuwa hamjui !!
 
Hiki chuma ni kama kilishushwa direct kutoka mbinguni, kinapendwa mno
 
Ndio huwa tunashauri ukitaka kujua watu wana mawazo gani kuhusu marehemu JPM nendeni kwa ground ndio utajua kuwa hamjui !!
Siku zote nawaambia watu JPM ile ni habari nyingine. Kuna siku nilikuwa sehemu kuna mzee alisema mimi sijawahi kuipenda CCM lakini Magufuli nilimpenda sana na Mimi ni mwanacham wa CHADEMA lakini hotuba za JPM tulikuwa tunazisikilza sana
 
Hao watu wanampendaje si tunaambiwa alikuwa anaua na kuwateka? Unataka kuniambia hao watu hawajui kwamba maelfu ya ndugu na jamaa zao waliyotekwa na kuuliwa kwamba aliyefanya hivyo ni Magufuli au wanajua ila wamempenda hivyo hivyo?
 
View attachment 2454555

Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!

Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.

R.I.P JPM.
The Magufuli Legacy

Hakuna shaka wala ubishi kuwa miradi ya kufua umeme Bwawa la Mwl Nyerere na SGR ikianza kazi ni uamuzi wa Magufuli ambao utabaki katika historia ya Watanzania ikiwa ni pamoja na kuhamishia Makao Makuu ya nchi Dodoma. Magufuli Legacy
 
View attachment 2454555

Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizo elezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!

Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyu tujiulize ni wapi anapo tuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.

R.I.P JPM.
econonist
 
Back
Top Bottom