Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizoelezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu!
Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapotuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya walio hai wenzetu.
R.I.P JPM.