Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

Sasa hapo si umeweka code wajuvi wa mambo hawawezi kuing'amua kweli?
 
Ukahamia CHADEMA ukawa chawa wa mbowe mala mbowe kikamlamba ,VIJANA WA BAVICHA

USSR
 
Nikupe jina moja wewe ni ndugu mpambanaji

Nambie kaka 😊 ā˜ŗļø
Mimi nilijifunza ujasir nilienda na BANGI KITUO CHA POLICE IKIWA MFUKONI NILIENDA KUWASALIMIA TU NA KUWAPONGEZA KWA KAZI NZURIII KAMA UNAWEZA JARIBU HII SCENE RIO

Nb. Nilijifunza ujasir wa kufanya chochote/ si unajua tena ukichoka kua masikini
 
Mkuu uzuri walio kwenye hizo fani zao wengi wamelala usingizišŸ˜€šŸ˜€mifumo mzee mifumo.
Hongera sana na pole kwa pilika za kutafuta ugali.
 
Daaah pesa inaugumu wake kiongozi. Umenikumbusha miaka iyo tulikua tunanunua chesesi namba z magari na plate namba zake kisha. Kisha tunabeba kwenye mabegi tunaongia kwa mzee kaguta pale. Kuna kua n masebbo w uko wanatuuzia magari yanayo fanana km prado, vx, na mengine mengi.
Tukifika kampala tunavisha plate namba z bongo na chesesi namba inachomewa km japani. Kuhusu boda kuna fomu unajaza km uko na gari binafsi lile la kwenye begi na unalipia dorra 20 tu.kwa nchi mwanachama w Africa mashariki. Hili dili tulipata pesa kwakweli. Sema watu walivyo anza kuleta gari za kwa TATA madiba ikaleta shida y intapo. Sema lilikua bonge la dili.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…