G
guest-1793599959
Guest
Aisee,pole sana mzee..ni wachache wanaweza kuhimili hyo hali. Binafsi nimewahi kupoteza mil 7 kwenye project fulani ya kilimo..niliokoa laki 2 tu...hyo ni 2020Sio kwa mkupuo
400k, 800k, 200K n.k
Aisee,pole sana mzee..ni wachache wanaweza kuhimili hyo hali. Binafsi nimewahi kupoteza mil 7 kwenye project fulani ya kilimo..niliokoa laki 2 tu...hyo ni 2020Sio kwa mkupuo
400k, 800k, 200K n.k
Kuiba kidhibiti "Kituo kikuu cha polisi - Dom" mwaka 1994.Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara.
Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa nilipo.
KISA CHA KWANZA: KUFUNGUA DISPENSARY BILA KUFUATA PROTOCOL ZOZOTE ZA WIZARA YA AFYA
Ilikuwa mwaka 2010, baada ya kumaliza chuo cha afya na kufanya internship yangu katika Hospitali ya Mwananyamala. Niliporudi mtaani, nilikuwa sina ajira. Cha ajabu ni kwamba, karibu kila mmoja wa wenzangu walipata kazi serikalini, lakini mimi peke yangu nikakosa.
Hali hiyo iliniumiza sana, Nilipoangalia upande wa sekta binafsi, mishahara ilikuwa midogo sana ukilinganisha na matarajio yangu.
Nikaamua kujilipua.
Nikaenda Mbande Chamazi, nikatafuta nyumba ya kawaida na kuamua kufungua dispensary bila kufuata taratibu wala kupata vibali husika. Nikatafuta manesi wa darasa la saba na kuanza kufanya nao kazi.
Sio siri, miezi 9 ya mwanzo nilipiga sana pesa—na nilipiga pesa vibaya mno kwa siku net profit nilikuwa naingiza mpaka 800k-500k. Wakati huo kulikuwa na uhaba mkubwa wa vituo vya afya katika eneo lile, hivyo watu walikuwa wengi na biashara ilikuwa inaenda sana.
Lakini kuna jambo moja nililojifunza hapo:
Siku zote ukizoea kufanya vitu visivyo sahihi, baada ya muda vinakuwa mazoea. Unaacha kuona kama ni kosa na unaanza kuona ni jambo la kawaida. Unajisahau.
Hapo ndipo nilipoanza kuelewa kwamba wakati mwingine mafanikio ya haraka yanaweza kukufanya uzowee njia ambazo baadaye zinaweza kukugharimu sana.
Kiukweli nilijisahau sana nilikuwa nimevimbiwa mafanikio,ghafla siku isiyo na jina ikaja team ya wizara,halmashauri na TRA kituo kikafungwa nikabebwa police mpaka mahakamani kwenye account nilikuwa na pesa za kutosha tu nikahonga sana si chini ya mil 40 nikaja nikatoka ila nikapigwa stop nisipractice tena huduma ya afya leseni yangu ikapigwa pin.
KISA CHA PILI: MUENDELEZO — KUFANYA FRAUD BIMA NHIF
NIKAAMUA KURUDI KWENYE GAME KIBISHI — SAFARI HII NIKASEMA NIFATE PROTOCOL WANAZOZITAKA WAO.
Safari hii nikatafuta eneo lingine Mbagala, maana pale Mbande nilikuta tayari wamefungua dispensary nyingine, tena kwenye eneo lilelile nililokuwepo hapo awali.
Nilikodi nyumba, nikafanya ukarabati mzuri na kuanza biashara. Tuseme nilikuwa na kismati sana, maana wateja walikuwa wengi kupita kawaida, hususani wagonjwa waliokuwa wanatumia bima ya NHIF.
Kwa kuona fursa hiyo, nikaamua kwenda ofisi za NHIF Bendera Tatu, Bandari, kuomba kibali cha kuanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa bima.
Ndani ya miezi mitatu tu, nikaruhusiwa.
Nikaanza kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wa bima.
MWANZO WA BIASHARA ULINIPA SOMO KUBWA.
Mwanzo, malipo niliyokuwa napata kutoka NHIF yalikuwa madogo sana ukilinganisha na gharama nilizokuwa natumia. Gharama zilikuwa kubwa, lakini faida ilikuwa ndogo.
Hapo ndipo nikaanza kufanya ujanja.
Nikaanza kufoji baadhi ya fomu za wagonjwa wa bima.
Mwanzoni niliona kama nimepata njia ya kutengeneza pesa. Kipato kikaongezeka sana, mpaka nikawa napata karibu MILIONI 14 kwa mwezi.
Lakini kama usemavyo, “UKICHEZA NA MOTO, MWISHO WAKE UTAKUUNGA.”
Baadaye wenyewe wakaja kushtuka.
Kesi ikawa kubwa sana.
Kwa kipindi hicho, nilikuwa nimeisababishia mfuko wa bima hasara ya takribani MILIONI 125.
Nilipoona mambo yamekuwa mazito, sikusubiri.
NIKAFUNGASHA VIRAGO VYANGU FASTA.
Nikaiuza ile dispensary kwa mtu mwingine, nikatembea zangu.
Baadaye nikaja kusikia kwamba kile kituo nacho kilifungwa nikawa most wanted.shukrani sana marehemu dada fortnatus raymond huyu alikuwa kitengo bima alinipambania kesi ikaishia hewani
Kisa cha mwisho iki siwezi kukisimulia kilikuwa upotevu wa dawa katika bohari kuu la dawa MSD.
View attachment 3647261
Ila kwa sasa nimeachana na hiyo michezo nimekoswa koswa mara mbili kwenda jela.
Karibu na wewe ulete mkasa wako
Duh! Pole sana.Aisee,pole sana mzee..ni wachache wanaweza kuhimili hyo hali. Binafsi nimewahi kupoteza mil 7 kwenye project fulani ya kilimo..niliokoa laki 2 tu...hyo ni 2020
Ahsante mkuu..hyo project nlikuwa nafanyia mkoa tofauti na nilipo kikazi..niliangushwa na vibarua kwenye umwagiliaji..vibarua waliacha kumwagilia mazao kwa wiki mbili bila sababu na mimi sikuwa na taarifa..hivyo asilimia kubwa ya mazao yalinyauka..siku naenda shamba nlilia mnooo kutokana na nilicho kikuta..Duh! Pole sana.
Vip uliirudia hiyo project kwa usahihi zaidi au ndio ulinyenyua mikono?
Dah!Ahsante mkuu..hyo project nlikuwa nafanyia mkoa tofauti na nilipo kikazi..niliangushwa na vibarua kwenye umwagiliaji..vibarua waliacha kumwagilia mazao kwa wiki mbili bila sababu na mimi sikuwa na taarifa..hivyo asilimia kubwa ya mazao yalinyauka..siku naenda shamba nlilia mnooo kutokana na nilicho kikuta..
Sikurudia tena hyo project...
Sahihi kabisa mkuu...japo huwa siyo mtu wa kukata tamaa..ntarudia tena kwa ubora zaidi.Dah!
Watu wengi walio na vibarua vingine wanapitia sana ugumu kufanya side hustle sababu sehemu ukishaweka pesa yako lazima uweke na muda wako , tofauti na hivyo kuumia ni asilimia nyingi.
Kaka changamka huja chelewa mama akitoka madarakani ngumu sana kupata zari changamka halooMimi kisa changu nikikielezea humu watu watanifahamu, ila enzi za mzee Magu tulikula economic case na kupelekwa mahakama ya uhujumu uchumi pale ubungo,mixer kutoka hadi kweny Gazeti la NIPASHE 2018...
enzi za magu tushashtakiwa mara mbili,2016, 2018!
tulikula kisago kweny Base ya wazee kule Mikocheni (Task force)... aisee yule Bora alivyokufa,alitaka watu wote wawe masikini,pesa wawe nazo wasukuma wenzie tu, watani zangu washamba sana......
Kesi yetu dhamana ilikuwa ya PESA CASH mamilioni au hati za nyumba....uzuri tuliweka wakili na wale wahindi Koko......baada ya hapo na kufirisika juu! Sasaivi nataka niwe chawa wa mama nipige pesa kimtindo!!!!
Hiyo haifundishwi, nimefanya kazi na watu wa kazi chafu ila bado sijawa kama wao.Ukitaka kufanya dili lingine nishtue
Unifundishe hiyo roho ya paka
Upimzike kwa amani mzee wangu dereva saibaba ndo ilikuwa michezo yetu hiyo tunashindilia mkaa wa uhakika manga/wami stand ubungo external kwa sista mnashusha mapema tu 12 mpaka 1 kasoro mshaua ndo ilikuwa utaratibu alafu michezo inachezeka mbele ya kituo cha police sista anawamaliza maisha yanaendelea siku walipoingia watu wa misitu ndo nilijua hakuna rushwa kubwa wala ndogo we kama unayo wape tu mmalizanetunabeba mkaa kutoka mkoa tunashushia ubungo,
round ya Kwanza ikalipa round ya pili ikalipa round ya tatu jamaa wenye misitu Yao hao
Pesa na utajiri inahitaji watu wenye roho ngumu ya uthubutu kama mleta mada hasa ukiwa umetokea kwenye familia yenye uwezo wa kawaida.Jamaa ana roho ngumu sana na ujasiri, kweli huyu akija upande wa pili tukampa nyoka, anaweza kulala nae tu bila shida.
Anafaa
Duh si wanasema ndege wafananao huruka pamoja wewe vipHiyo haifundishwi, nimefanya kazi na watu wa kazi chafu ila bado sijawa kama wao.
Kuna watu wanasimamia uongo kidete kama ukweli vile.
Ngumu mno sanapesa halali ngumu saana
Zipo ila chache na Kuna ka ukanjanjaPesa halali zipo sema wengi hatuzijui code.
Get rich or die trying.Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara.
Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa nilipo.
KISA CHA KWANZA: KUFUNGUA DISPENSARY BILA KUFUATA PROTOCOL ZOZOTE ZA WIZARA YA AFYA
Ilikuwa mwaka 2010, baada ya kumaliza chuo cha afya na kufanya internship yangu katika Hospitali ya Mwananyamala. Niliporudi mtaani, nilikuwa sina ajira. Cha ajabu ni kwamba, karibu kila mmoja wa wenzangu walipata kazi serikalini, lakini mimi peke yangu nikakosa.
Hali hiyo iliniumiza sana, Nilipoangalia upande wa sekta binafsi, mishahara ilikuwa midogo sana ukilinganisha na matarajio yangu.
Nikaamua kujilipua.
Nikaenda Mbande Chamazi, nikatafuta nyumba ya kawaida na kuamua kufungua dispensary bila kufuata taratibu wala kupata vibali husika. Nikatafuta manesi wa darasa la saba na kuanza kufanya nao kazi.
Sio siri, miezi 9 ya mwanzo nilipiga sana pesa—na nilipiga pesa vibaya mno kwa siku net profit nilikuwa naingiza mpaka 800k-500k. Wakati huo kulikuwa na uhaba mkubwa wa vituo vya afya katika eneo lile, hivyo watu walikuwa wengi na biashara ilikuwa inaenda sana.
Lakini kuna jambo moja nililojifunza hapo:
Siku zote ukizoea kufanya vitu visivyo sahihi, baada ya muda vinakuwa mazoea. Unaacha kuona kama ni kosa na unaanza kuona ni jambo la kawaida. Unajisahau.
Hapo ndipo nilipoanza kuelewa kwamba wakati mwingine mafanikio ya haraka yanaweza kukufanya uzowee njia ambazo baadaye zinaweza kukugharimu sana.
Kiukweli nilijisahau sana nilikuwa nimevimbiwa mafanikio,ghafla siku isiyo na jina ikaja team ya wizara,halmashauri na TRA kituo kikafungwa nikabebwa police mpaka mahakamani kwenye account nilikuwa na pesa za kutosha tu nikahonga sana si chini ya mil 40 nikaja nikatoka ila nikapigwa stop nisipractice tena huduma ya afya leseni yangu ikapigwa pin.
KISA CHA PILI: MUENDELEZO — KUFANYA FRAUD BIMA NHIF
NIKAAMUA KURUDI KWENYE GAME KIBISHI — SAFARI HII NIKASEMA NIFATE PROTOCOL WANAZOZITAKA WAO.
Safari hii nikatafuta eneo lingine Mbagala, maana pale Mbande nilikuta tayari wamefungua dispensary nyingine, tena kwenye eneo lilelile nililokuwepo hapo awali.
Nilikodi nyumba, nikafanya ukarabati mzuri na kuanza biashara. Tuseme nilikuwa na kismati sana, maana wateja walikuwa wengi kupita kawaida, hususani wagonjwa waliokuwa wanatumia bima ya NHIF.
Kwa kuona fursa hiyo, nikaamua kwenda ofisi za NHIF Bendera Tatu, Bandari, kuomba kibali cha kuanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa bima.
Ndani ya miezi mitatu tu, nikaruhusiwa.
Nikaanza kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wa bima.
MWANZO WA BIASHARA ULINIPA SOMO KUBWA.
Mwanzo, malipo niliyokuwa napata kutoka NHIF yalikuwa madogo sana ukilinganisha na gharama nilizokuwa natumia. Gharama zilikuwa kubwa, lakini faida ilikuwa ndogo.
Hapo ndipo nikaanza kufanya ujanja.
Nikaanza kufoji baadhi ya fomu za wagonjwa wa bima.
Mwanzoni niliona kama nimepata njia ya kutengeneza pesa. Kipato kikaongezeka sana, mpaka nikawa napata karibu MILIONI 14 kwa mwezi.
Lakini kama usemavyo, “UKICHEZA NA MOTO, MWISHO WAKE UTAKUUNGA.”
Baadaye wenyewe wakaja kushtuka.
Kesi ikawa kubwa sana.
Kwa kipindi hicho, nilikuwa nimeisababishia mfuko wa bima hasara ya takribani MILIONI 125.
Nilipoona mambo yamekuwa mazito, sikusubiri.
NIKAFUNGASHA VIRAGO VYANGU FASTA.
Nikaiuza ile dispensary kwa mtu mwingine, nikatembea zangu.
Baadaye nikaja kusikia kwamba kile kituo nacho kilifungwa nikawa most wanted.shukrani sana marehemu dada fortnatus raymond huyu alikuwa kitengo bima alinipambania kesi ikaishia hewani
Kisa cha mwisho iki siwezi kukisimulia kilikuwa upotevu wa dawa katika bohari kuu la dawa MSD wenye thamani ya bil 14,wenzangu 4 wapo rumande kesi yao ilisomwa majuzi
Ila kwa sasa nimeachana na hiyo michezo nimekoswa koswa mara mbili kwenda jela.
Karibu na wewe ulete mkasa wako
Sahihi kabisa, ila roho ya jamaa nayo imezidi ule ugumu wa kawaida, in short mtoa mada amepitiliza zaidiPesa na utajiri inahitaji watu wenye roho ngumu ya uthubutu kama mleta mada hasa ukiwa umetokea kwenye familia yenye uwezo wa kawaida.
Pesa inahitaji ujasiripesa halali ngumu saana