Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

Kuiba kidhibiti "Kituo kikuu cha polisi - Dom" mwaka 1994.
Kuiba bunduki na bastola za Mzee na kwenda kuwindia Tembo na Faru mwaka 1990.
 
Duh! Pole sana.
Vip uliirudia hiyo project kwa usahihi zaidi au ndio ulinyenyua mikono?
Ahsante mkuu..hyo project nlikuwa nafanyia mkoa tofauti na nilipo kikazi..niliangushwa na vibarua kwenye umwagiliaji..vibarua waliacha kumwagilia mazao kwa wiki mbili bila sababu na mimi sikuwa na taarifa..hivyo asilimia kubwa ya mazao yalinyauka..siku naenda shamba nlilia mnooo kutokana na nilicho kikuta..

Sikurudia tena hyo project...
 
Dah!
Watu wengi walio na vibarua vingine wanapitia sana ugumu kufanya side hustle sababu sehemu ukishaweka pesa yako lazima uweke na muda wako , tofauti na hivyo kuumia ni asilimia nyingi.
 
Kaka changamka huja chelewa mama akitoka madarakani ngumu sana kupata zari changamka haloo
 
tunabeba mkaa kutoka mkoa tunashushia ubungo,
round ya Kwanza ikalipa round ya pili ikalipa round ya tatu jamaa wenye misitu Yao hao
Upimzike kwa amani mzee wangu dereva saibaba ndo ilikuwa michezo yetu hiyo tunashindilia mkaa wa uhakika manga/wami stand ubungo external kwa sista mnashusha mapema tu 12 mpaka 1 kasoro mshaua ndo ilikuwa utaratibu alafu michezo inachezeka mbele ya kituo cha police sista anawamaliza maisha yanaendelea siku walipoingia watu wa misitu ndo nilijua hakuna rushwa kubwa wala ndogo we kama unayo wape tu mmalizane
 
Get rich or die trying.
💯 ✔️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…