Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Pemba ni kwamba hawana mambo mengi wao nia yako uoe tuu ila sasaa ukishao mzee ndugu watakuwa wanapishana tuu kwako afu usafi sifurii.🤣🤣🤣 dah! Apo pemba kama ni wife material, haina noma mkuu... huko ntaenda nikiwa na miaka 80 ivi, kwa sasa nimejiunga na jumuiya ya wasiooa...kwa iyo dah! Niko njia panda.
Sasa apo Pemba unasema ni wafilisti tupu(yani watakufilisi)....au wakikucheki kama mpunga umekaa poa na wamekuelewa ndio unapewa usajili.
Oyooooo....ahsante mkuu kwa kueleza sehemu husika! Ulivyosema kiajemi, nywele mpaka kiunoni...nimejiskia kulipa tozo mara mbili mbili.Nenda Rujewa Mbeya wapo wa kutosha. Ukienda Madibira, Waburushi utawakuta wanalima mpunga na magurumeru. Pisi kali za kiajemi nywele mpaka kiunoni
Swali muhimu mkuu, tusije tukalimishwa mpaka kieleweke.Ukukutana na mambo yakichawi na kupeana limbwata?
Likizo ya Mwaka naenda KONDOAKuna Sehemu Kondoa Inaitwa "Mauno " ila Ujipange
Kiiiru.... Doreen wa mrema uku anasumbua kijiji kizima....kumbe nao waburushi sio mchezo.Wabaya sana ikija kwenye swala la mali na utajiri, 🥹🥹🥹 mengine wapo powa ila hapo kwenye pesa na utajiri kao nao mbali sio watu wazuri
Waburushi acha kabisa 🥸🥸🥸Kiiiru.... Doreen wa mrema uku anasumbua kijiji kizima....kumbe nao waburushi sio mchezo.
Totoz limwumbika hilo kiuno nyigu, tako skonsi hadi raha.Naona we na mzabzab ni mtu na mali yake.
Ahsante muheshimiwa,Tuendelee kuvimba migodi na ku discover the hidden treasures... So far Tanga Yuko juu kwene msimamo wa ligi..
Nasisitiza toka nakua niliambiwa Hawa watu wana patikana Sana rudewa ... Uko uko Ni clean Gold ... Mali Safi jiwe uzito wa enock laizer... Kitu na box ... Box na kitu
Pure Diamond ... Ruby na Tanzanite Ilo kolea inabaki kwa watt was kishua.. izi zingine Ni kukumbatia bomu anytime linakulipukia.
Haya endeleni kutupa machimbo.
Eh! Apo unguja unafanywa mtaji wa tozo sio? Pemba nafuu kidogo lakini kwa spidi iyo, naona yanaeza tokea yale ya ule jamaa wa Mwanza.Pemba ni kwamba hawana mambo mengi wao nia yako uoe tuu ila sasaa ukishao mzee ndugu watakuwa wanapishana tuu kwako afu usafi sifurii.
Wafilisti ni waunguja mademu wanashinda ndani muda woote kazi hawataki kufanya wao shughuli tuu ndo kazi yao twgemeo lao kubwa wanaume
Ahseee wakuu, WAZIRI WETU WA HABARI KATOA PENDEKEZO MUHIMU SANA. Naomba na hilo, tukalitazame.Wekeni na picha
Ndo mpango mzima mzee baba, hifadhi zetu za taifa hizi eti.Likizo ya Mwaka naenda KONDOA
Pendekezo jema mkuu, kwa iyo Waburushi ndo yale ya "lete mdhungu"?Waburushi acha kabisa 🥸🥸🥸
Kumbe weeh ushajitwalia mema ya nchi mkuu. Noma sana.Totoz limwumbika hilo kiuno nyigu, tako skonsi hadi raha.
Ni mwendo wa kukata miti tu. Ndo maana tunaambiwa mkulima ndio faida ya jamii.Huko Kumeungua Shoka Mpini Umebaki
Mambo Ni Moto Sana, Yaani Raha Sana
Sawa sawa mkuu, uko ni aina gani ya matunda yanapatikana?Nenda mkoa wa Mara