Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

Hana hata hilo tako
Mwanzo wakati mnaanza mahusiano ilikuwaje mkuu..??
Na je unajitahidi kumuongoza katika njia sahihi wewe kama mumewe..??
Umejaribu kufanya jitihada za aina yoyote ile kumuongezea uelewa na maarifa kwenye mambo tofauti tofauti..?
Na yeye anafahamu unavyojiskia kuhusu hili suala..?
 
Yani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapizungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, kitu chochote cha ki academic haelewi kam vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kam ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu

Ninatoa kozi kwa wanawake vilaza na walioolewa mkuu.
Kozi wiki moja tu atakuwa mwerevu sana mkuu.
Karibu sana
 
Yani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapizungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, kitu chochote cha ki academic haelewi kam vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kam ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Binafsi mtu aneongelea au kuchambua mapungufu ya mke wake namuona yeye ndiyo mwenye shida na mapungufu.

Kabla ya kuoa kuna mambo ambayo ilipaswa kujiridhisha kabla ya kumuweka ndani, ndoa ni project kubwa kabla ya kuifanya lazima ukae chini upige gharama sasa vijana wengi wanaongozwa na hisia za mapenzi zaidi wanaweka uwalisia wa ndoa pembeni
 
Nisaidie kumwambia kuwa ninatoa kozi ya wanawake vilaza plz😂
 
Achague moja tu ambalo ni msingi wa ndoa yao ...huwezi kupewa vyote kamwe
 
Yani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapizungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, kitu chochote cha ki academic haelewi kam vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kam ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Kwa hii siredi yako tu, wewe ndo unaonekana huna akili.
 
Huyu wangu ndo kabisaaa, mpaka mambo msingi ya responsibilities zake mpaka umkumbushe[emoji23]

Imagine mke hawezi kukufulia, usafi wa nyumba hawezi, nk.

Wanawake sometimes kuachwa mnajitakia wenyewe[emoji846]
Muwwkee .saidizi,

huwa tunajisahau na mazoea pia
 
Yani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapizungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, kitu chochote cha ki academic haelewi kam vile hajasoma, nakua na hasira sana
I feel like i married an idiot

N.B
Hana tako kam ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
Hana tako ? Anatumia mgongo kuketi?
 
Shukuru MUNGU tena sana
Usilete ng'endembwe akabadilika
Komalia nidhamu na mengine yanafuata!
 
Wakati mwingine tumia akili, huyo mwanamke umemtumia vya kutosha alafu leo hii unamuona ni mpuuzi kwako. Mbaya zaidi ni mke wako, kama anafeli sehemu kaa nae umwelekeze. Baadhi ya nyie watu mnafanya ndoa ionekane ndoano
 
Kabla ya kuoa si ulikuwa na kipindi cha uchumba? Hukugundua hilo? Basi alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu.
 
We jamaa utakuwa Muhaya aka "nshomile" ama lah basi ni mnyakyusa wa mwakaleli make ndo mnajifanyaga much know na nyodo za kishamba!
Unapata faida gani kumuanika mkeo na kumuadhirisha mtoto wa watu hapa?!
So what kwani tulikuchagulia?!! We mwenye akili umevumbua nini au taifa linakutegemea kwa kipi ulicho deliver?
Kazi ya mke ni kukuzalia watoto, kukuheshimu kama mumewe na kukusupport ktk harakati zako ktk kusaka tonge(kukuombea n.k). Sasa wewe ulimuoa ili mfanye debate na academic argumentations?!
 
Mtoa maada pitia hapa kuna la kujifunza
 
Hapana...lazima ktk kuangalia future ya watoto umpate mke ambaye walahu atawakumbusha watoto hata kufanya homework na kuwasaidia
 
I feel like i married an idiot
If you married an idiot, then you are an idiot too.
Remember an old saying :
"Birds of the feather flock together".

Ungekuwa na akili japo kidogo tu kama mbegu ya mchicha, usingeleta uzi wa kumdhalilisha mkeo hapa mitandaoni. Mke ambaye ni mwili mmoja na wewe.

Ukimdhalilisha mkeo ni sawa na umejidhalilisha mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…