nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Hela inaleta marafiki wa uwongo.Marafiki Wana rika lake lkn hawadumu we tafuta hela mkuu watakuja marafiki wa kweli na hautawachoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela inaleta marafiki wa uwongo.Marafiki Wana rika lake lkn hawadumu we tafuta hela mkuu watakuja marafiki wa kweli na hautawachoka
Hata mimiSihitaji marafiki
Yeah….sahihiNdiyo ilivyo mkuu ,wale marafiki wako wakati ulikuwa under 18 ndiyo wanakuwa ni ndugu ,kwahiyo kadri unavyokuwa unatengeneza circle nyingine.
Na mwisho kabisa unajikuta kaburini ukitafakari maisha na kutunga sheria binafsi 😁Kuna factor nyingi, sana ila kuu ni kuwa kila mtu atabeba msalaba wake. Kadri unavyokua njia yako inazidi kuwa nyembamba so itafikia mda lazma utembee peke yako.