nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 May 22, 2024 #21 MAWEED said: Marafiki Wana rika lake lkn hawadumu we tafuta hela mkuu watakuja marafiki wa kweli na hautawachoka Click to expand... Hela inaleta marafiki wa uwongo.
MAWEED said: Marafiki Wana rika lake lkn hawadumu we tafuta hela mkuu watakuja marafiki wa kweli na hautawachoka Click to expand... Hela inaleta marafiki wa uwongo.
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 May 22, 2024 #22 Wild man from the Hills said: Sihitaji marafiki Click to expand... Hata mimi Tusijuane kwa heri wala kwa shari.
Wild man from the Hills said: Sihitaji marafiki Click to expand... Hata mimi Tusijuane kwa heri wala kwa shari.
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 May 22, 2024 #23 King Kong III said: Ndiyo ilivyo mkuu ,wale marafiki wako wakati ulikuwa under 18 ndiyo wanakuwa ni ndugu ,kwahiyo kadri unavyokuwa unatengeneza circle nyingine. Click to expand... Yeah….sahihi
King Kong III said: Ndiyo ilivyo mkuu ,wale marafiki wako wakati ulikuwa under 18 ndiyo wanakuwa ni ndugu ,kwahiyo kadri unavyokuwa unatengeneza circle nyingine. Click to expand... Yeah….sahihi
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 May 22, 2024 #24 Marafiki wa kweli ni watoto wako na mkeo tu.
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 May 22, 2024 #25 de Gunner said: Kuna factor nyingi, sana ila kuu ni kuwa kila mtu atabeba msalaba wake. Kadri unavyokua njia yako inazidi kuwa nyembamba so itafikia mda lazma utembee peke yako. Click to expand... Na mwisho kabisa unajikuta kaburini ukitafakari maisha na kutunga sheria binafsi 😁
de Gunner said: Kuna factor nyingi, sana ila kuu ni kuwa kila mtu atabeba msalaba wake. Kadri unavyokua njia yako inazidi kuwa nyembamba so itafikia mda lazma utembee peke yako. Click to expand... Na mwisho kabisa unajikuta kaburini ukitafakari maisha na kutunga sheria binafsi 😁
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 May 22, 2024 #26 Ratiba zinabadilika
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 May 22, 2024 #27 Ifanye familia yako kuwa marafiki wa kwanza maana hao hutowachoka