Ni mitazamo gani mibaya uliyo nayo. Mimi yangu hii hapa...

Ni mitazamo gani mibaya uliyo nayo. Mimi yangu hii hapa...

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi.

Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii;

1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi.
Baadaye nikagundua wengi waô siô waoga Kwa sababu Hawana cha kupoteza.

2. Mwanamke yeyote mwembamba anayevaa Miwani anajua kingereza. Na asiyejua kingereza lazima awe na mdomo, mjuaji na Mbeya
Baadaye nikagundua sikuwa Sahihi

3. MTU mwenye kichwa kilichopigwa bapa, asiye na kichogo kama Mwijaku vile lazima awe dishi limeyumba.
Hii kidôgo mpaka Sasa
bado ninayo.

4. Mtu mwenye kigugumizi anahasira Sana.

5. MTU asiyeongeaongea(mkimya) hana Akili(anaakili ndogo).
Baadaye nikagundua wàpo weñye Akili.

6. Wanaume waliofanana na Mama zào(Handsome boy) wanamambo ya kishoga.
Baadaye nilipoona mashoga robo tatu Yao wanasura ngumu.

7. Watu weñye maneno mengi ni waongo na matapeli.

Wewe vipi mtazamo wako
 
Back
Top Bottom