Ni mitazamo gani mibaya uliyo nayo. Mimi yangu hii hapa...

Mara nyingi tunapata elimu kupitia kusoma, kusikiliza na kujifunza na sio kuongea sana.
Ongea pale tu ambapo kuna umuhimu wa kufanya hivyo
Ongea maneno machache ambayo umeyafikiria kwa kina

Huwezi tenganisha kuongea na Ubongo au kuona na Ubongo
 
Mi naamini nna kitu kichwani (jiniazi)ila siku hizi nabishana na wazo hilo sasa hivi najiona kama lakini basi.
 
5. MTU asiyeongeaongea(mkimya) hana Akili(anaakili ndogo).
Baadaye nikagundua wàpo weñye Akili
Mkimya sana mi ndo naamini ana akili, sijabahatika kukutana na waongeaji sana wenye akili. Muongeaji ukitulia kumsikuliza utajua tu huyu ni kujiamini kwingi ila dishi limeyumba, hawanaga logic.

Kama huamini hili sogea vijiwe vya bodaboda utawakuta hawa kina "kajua yote".

4. Mtu mwenye kigugumizi anahasira Sana.
Ukifunika ungo hawezi kuongea, hii hata sijui kama ni kweli au ni kamba za utotoni.

7. Watu weñye maneno mengi ni waongo na matapeli.
Ina ukweli kiasi fulani.
 
Mimi nlikuwa najua wadada wazuri ni Malaya

Nlikuwa najua wafanyabiashara wanaenjoy maisha sana

Nlikuwa najua mjini ni ngumu sana kupata demu maana kila mtu yupo speed kivyake
 
Watu wanao ongea sanaa nimatapeli kwanamna yoyote ile.
Wadada wanao vaa sketi fupi saana hawana aibu nawengi nimaraya.
Mume na mke walio kwenye ndoa harafu simu zao zina password ngumu kutoa hawa nilikua najua kwamba ni wasaliti wote wawili.
 
Namba 3& 4 hujakosea,angalia wanzanzibari hawana visogo na hata darasani ni wazito.
6& 7 napo hujakosea,Wanasiasa qengi wanaongea sana na ni matapeli.
Sio kweli akili ya kuadapt vitu either darasana au kwenye mazingira ya kawaida inategemea na nature ya jamii husika..
Hakuna mhindi wala mzungu mwenye kichogo ila ndio maginious huko duniani..

Jamii ya watu wanzanzibar ni wavivu na hawataki kujishughulisha au kufikiri kwa sana.
 
Kwema Wakuu!

Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi.

Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii;

1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi.
Baadaye nikagundua wengi waô siô waoga Kwa sababu Hawana cha kupoteza.

2. Mwanamke yeyote mwembamba anayevaa Miwani anajua kingereza. Na asiyejua kingereza lazima awe na mdomo, mjuaji na Mbeya
Baadaye nikagundua sikuwa Sahihi

3. MTU mwenye kichwa kilichopigwa bapa, asiye na kichogo kama Mwijaku vile lazima awe dishi limeyumba.
Hii kidôgo mpaka Sasa
bado ninayo.

4. Mtu mwenye kigugumizi anahasira Sana.

5. MTU asiyeongeaongea(mkimya) hana Akili(anaakili ndogo).
Baadaye nikagundua wàpo weñye Akili.

6. Wanaume waliofanana na Mama zào(Handsome boy) wanamambo ya kishoga.
Baadaye nilipoona mashoga robo tatu Yao wanasura ngumu.

7. Watu weñye maneno mengi ni waongo na matapeli.

Wewe vipi mtazamo wako
Heriel namba tatu unanikosea ndugu na ninavyoona hii ni Vita unaitafuta kwa nguvu
 
Watu wanao ongea sanaa nimatapeli kwanamna yoyote ile.
Wadada wanao vaa sketi fupi saana hawana aibu nawengi nimaraya.
Mume na mke walio kwenye ndoa harafu simu zao zina password ngumu kutoa hawa nilikua najua kwamba ni wasaliti wote wawili.
Kweli kwa asilimia 90
 
Mkimya sana mi ndo naamini ana akili, sijabahatika kukutana na waongeaji sana wenye akili. Muongeaji ukitulia kumsikuliza utajua tu huyu ni kujiamini kwingi ila dishi limeyumba, hawanaga logic.

Kama huamini hili sogea vijiwe vya bodaboda utawakuta hawa kina "kajua yote".

Ukifunika ungo hawezi kuongea, hii hata sijui kama ni kweli au ni kamba za utotoni.

Ina ukweli kiasi fulani.

😃😃
Ukifika kwèñye hiyo vituo vya bodaboda Huwezi Amini wale wakimya ndîo hata uwezo wa kueleza Jambo Hawana lakini waongeaji kidôgo zimo.

Ila ukimkuta mkimya mwenye Akili mara nyingi NI Genius ila wakimya wengi ni below average.

Na waongeaji wengi wàpo kwèñye average lakini ni nadra kukuta genius muongeaji
 
Kwema Wakuu!

Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi.

Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii;

1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi.
Baadaye nikagundua wengi waô siô waoga Kwa sababu Hawana cha kupoteza.

2. Mwanamke yeyote mwembamba anayevaa Miwani anajua kingereza. Na asiyejua kingereza lazima awe na mdomo, mjuaji na Mbeya
Baadaye nikagundua sikuwa Sahihi

3. MTU mwenye kichwa kilichopigwa bapa, asiye na kichogo kama Mwijaku vile lazima awe dishi limeyumba.
Hii kidôgo mpaka Sasa
bado ninayo.

4. Mtu mwenye kigugumizi anahasira Sana.

5. MTU asiyeongeaongea(mkimya) hana Akili(anaakili ndogo).
Baadaye nikagundua wàpo weñye Akili.

6. Wanaume waliofanana na Mama zào(Handsome boy) wanamambo ya kishoga.
Baadaye nilipoona mashoga robo tatu Yao wanasura ngumu.

7. Watu weñye maneno mengi ni waongo na matapeli.

Wewe vipi mtazamo wako
Mimi nilidhani wanaopenda kuandika andika insha kama wewe ni aina ya watu wenye kujitambua na wenye maono ya mbali, kumbe hali kwa ground ni tofauti sana bwashee.

2. Nilikuwa nadhani wafuasi wa chadema wote ni watu makini na hodari kuwazidi wale wa CCM, Baadaye nimegundua kila chama cha siasa hapa Tanzania kina idadi kubwa ya hifadhi ya wajinga na wapumbavu ndani yake. Ila unyama unyama tu wabishi tunaishi.
 
7. ni sahihi hata sasa naamini hivyo wenye maneno mengi ni waongo na sio waaminifu(hata wakikopa kurudisha ni ngumu/ni matapeli)
Na hata kwenye mahusiano ni waongo..yani hii ndio sahihi kabisa hujakosea
 
Mimi nilidhani wanaopenda kuandika andika insha kama wewe ni aina ya watu wenye kujitambua na wenye maono ya mbali, kumbe hali kwa ground ni tofauti sana bwashee.

2. Nilikuwa nadhani wafuasi wa chadema wote ni watu makini na hodari kuwazidi wale wa CCM, Baadaye nimegundua kila chama cha siasa hapa Tanzania kina idadi kubwa ya hifadhi ya wajinga na wapumbavu ndani yake. Ila unyama unyama tu wabishi tunaishi.

Asilimia tisini Huwezi kuwa mtunzi wa maandishi kama kichwa hazimo.
Waandishi wengi ni wanafalsafa.

Ila hiyo Haimanishi hawapo makanjanja àmbao huweza ku-copy maandishi ya Mtu Mwingine na kuyageuza ya Kwao. Wezi.

Kuhusu CCM na CHADEMA nimekuachia
 
3.Tatu sio sahihi,hata hao wanaojiita machawa sidhani kama hawana akili timamu, ILA WANAJIZIMA DATA/wanajitoa akili tu.
 
Back
Top Bottom