Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hujawahi kutana na mada zao wale jamaa, ubaya ni kua wote ni waongeaji na hakuna mwenye data sahihi wala anaekaribia ukweli.😃😃
Ukifika kwèñye hiyo vituo vya bodaboda Huwezi Amini wale wakimya ndîo hata uwezo wa kueleza Jambo Hawana lakini waongeaji kidôgo zimo.
Ila ukimkuta mkimya mwenye Akili mara nyingi NI Genius ila wakimya wengi ni below average.
Na waongeaji wengi wàpo kwèñye average lakini ni nadra kukuta genius muongeaji
Wakimya wengi hawabishani, akiongea fact yake ikabishiwa anakaa kimya, huwezi kubishana na muongeaji utasanda tu, kwanza sauti yake kubwa, ana ushawishi na ni muongo.
Pamoja na hayo wengi wao wanakuaga na yule jamaa mwenye data wanaemuamini na huyo mara nyingi huwa sio muongeaji 😂😂.