Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Wayahudi ni watu special sana , kumbe ni makanjanja tu kama jamii nyingne zilivyo.
Hiyo ni kama uambiwe Watu wa tanga wanajua
Mapenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wayahudi ni watu special sana , kumbe ni makanjanja tu kama jamii nyingne zilivyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Ukiwa kimya unapata muda wa kujifunza,Huwezi kuongea ongea kama hauna Akili.
Lugha ni moja ya vitu nyeti àmbavyo hutafsiri Akili.
Labda kuongea Vitu àmbavyo havina logic
Kuhusu wayahudi tulipigwa na kuna watu bado wanapigwa mpaka sasa hivi🤔Hiyo ni kama uambiwe Watu wa tanga wanajua
Mapenzi
Watu wengi wako kwenye dini kwa sababu wanampenda mungu.
Tanga pia tulipigwa labda wangoni wanajua asee🤣Hiyo ni kama uambiwe Watu wa tanga wanajua
Mapenzi
Ukiwa kimya unapata muda wa kujifunza,
Kusema ukweli ndiyo unaaminika
Kumbe unajichoresha tu😥
OkayWakimya wengi upeo waô upo chini hawawezi kufikiri huku wakizungumza.
Wakimya wachache sana àmbao huo muda wakiwa kimya hujifunza hao ndîo huitwa ma- genius ila mostly Watu wakimya huwa Hawana upeo Mkubwa.
Okay
Kitu sahihi kitabaki kuwa sahihi tuu.Lakini anayeongeaongea Bila mantiki ndiye anashida ya ubongo
Kitu sahihi kitabaki kuwa sahihi tuu.
Mara nyingi tunapata elimu kupitia kusoma, kusikiliza na kujifunza na sio kuongea sana.Sahihi
Kitu kisicho Sahihi kinaweza kugeuzwa siô Sahihi na kikawa Sahihi.
Na Kile Sahihi kikageuzwa kisiwe Sahihi
Dah Chuki zako umezitoa ndipo haya twende kazi .Kizimkazi yupo juu.Namba 3& 4 hujakosea,angalia wanzanzibari hawana visogo na hata darasani ni wazito.
6& 7 napo hujakosea,Wanasiasa qengi wanaongea sana na ni matapeli.
Ila wewee!!Hawana shida sana na usagaji na ushoga wa kuingiza, tatizo kubwa ni ushoga wa kuingiziwa.
Nilikua najuaga watu wenye Elimu kwanzia Degree wana akili