Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Mara nyingi tunapata elimu kupitia kusoma, kusikiliza na kujifunza na sio kuongea sana.
Ongea pale tu ambapo kuna umuhimu wa kufanya hivyo
Ongea maneno machache ambayo umeyafikiria kwa kina
Wengi wako kwenye dini kwa sababu wamezaliwa na wazazi wenye dini, wanaogopa kuchomwa moto siku ya mwisho na ili wakifa wazikwe kidini.Wengi wàpo Huko Kwa Sababu Hawana upeo WA kumjua Mungu
Alafu Siku waki-reason kidôgo wanageuka atheist
Wengi wako kwenye dini kwa sababu wamezaliwa na wazazi wenye dini, wanaogopa kuchomwa moto siku ya mwisho na ili wakifa wazikwe kidini.
Bado hamjasemaa. Na mtasema tu mwaka huuWayahudi ni watu special sana , kumbe ni makanjanja tu kama jamii nyingne zilivyo.
Sawasawa 🤒😃😃
Inategemea na UKWELI na unasemwa Wakati gani
Mkimya sana mi ndo naamini ana akili, sijabahatika kukutana na waongeaji sana wenye akili. Muongeaji ukitulia kumsikuliza utajua tu huyu ni kujiamini kwingi ila dishi limeyumba, hawanaga logic.5. MTU asiyeongeaongea(mkimya) hana Akili(anaakili ndogo).
Baadaye nikagundua wàpo weñye Akili
Ukifunika ungo hawezi kuongea, hii hata sijui kama ni kweli au ni kamba za utotoni.4. Mtu mwenye kigugumizi anahasira Sana.
Ina ukweli kiasi fulani.7. Watu weñye maneno mengi ni waongo na matapeli.
Sio kweli akili ya kuadapt vitu either darasana au kwenye mazingira ya kawaida inategemea na nature ya jamii husika..Namba 3& 4 hujakosea,angalia wanzanzibari hawana visogo na hata darasani ni wazito.
6& 7 napo hujakosea,Wanasiasa qengi wanaongea sana na ni matapeli.
Heriel namba tatu unanikosea ndugu na ninavyoona hii ni Vita unaitafuta kwa nguvuKwema Wakuu!
Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi.
Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii;
1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi.
Baadaye nikagundua wengi waô siô waoga Kwa sababu Hawana cha kupoteza.
2. Mwanamke yeyote mwembamba anayevaa Miwani anajua kingereza. Na asiyejua kingereza lazima awe na mdomo, mjuaji na Mbeya
Baadaye nikagundua sikuwa Sahihi
3. MTU mwenye kichwa kilichopigwa bapa, asiye na kichogo kama Mwijaku vile lazima awe dishi limeyumba.
Hii kidôgo mpaka Sasa
bado ninayo.
4. Mtu mwenye kigugumizi anahasira Sana.
5. MTU asiyeongeaongea(mkimya) hana Akili(anaakili ndogo).
Baadaye nikagundua wàpo weñye Akili.
6. Wanaume waliofanana na Mama zào(Handsome boy) wanamambo ya kishoga.
Baadaye nilipoona mashoga robo tatu Yao wanasura ngumu.
7. Watu weñye maneno mengi ni waongo na matapeli.
Wewe vipi mtazamo wako
Kweli kwa asilimia 90Watu wanao ongea sanaa nimatapeli kwanamna yoyote ile.
Wadada wanao vaa sketi fupi saana hawana aibu nawengi nimaraya.
Mume na mke walio kwenye ndoa harafu simu zao zina password ngumu kutoa hawa nilikua najua kwamba ni wasaliti wote wawili.
5.Mimi naamini tofauti mtu mkimya na mtulivu ndio mwenye akili .Mtu anayeongea sana mara nyingi anakuwa na akili chache
Heriel namba tatu unanikosea ndugu na ninavyoona hii ni Vita unaitafuta kwa nguvu
Mkimya sana mi ndo naamini ana akili, sijabahatika kukutana na waongeaji sana wenye akili. Muongeaji ukitulia kumsikuliza utajua tu huyu ni kujiamini kwingi ila dishi limeyumba, hawanaga logic.
Kama huamini hili sogea vijiwe vya bodaboda utawakuta hawa kina "kajua yote".
Ukifunika ungo hawezi kuongea, hii hata sijui kama ni kweli au ni kamba za utotoni.
Ina ukweli kiasi fulani.
Mimi nilidhani wanaopenda kuandika andika insha kama wewe ni aina ya watu wenye kujitambua na wenye maono ya mbali, kumbe hali kwa ground ni tofauti sana bwashee.Kwema Wakuu!
Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi.
Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii;
1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi.
Baadaye nikagundua wengi waô siô waoga Kwa sababu Hawana cha kupoteza.
2. Mwanamke yeyote mwembamba anayevaa Miwani anajua kingereza. Na asiyejua kingereza lazima awe na mdomo, mjuaji na Mbeya
Baadaye nikagundua sikuwa Sahihi
3. MTU mwenye kichwa kilichopigwa bapa, asiye na kichogo kama Mwijaku vile lazima awe dishi limeyumba.
Hii kidôgo mpaka Sasa
bado ninayo.
4. Mtu mwenye kigugumizi anahasira Sana.
5. MTU asiyeongeaongea(mkimya) hana Akili(anaakili ndogo).
Baadaye nikagundua wàpo weñye Akili.
6. Wanaume waliofanana na Mama zào(Handsome boy) wanamambo ya kishoga.
Baadaye nilipoona mashoga robo tatu Yao wanasura ngumu.
7. Watu weñye maneno mengi ni waongo na matapeli.
Wewe vipi mtazamo wako
Mimi nilidhani wanaopenda kuandika andika insha kama wewe ni aina ya watu wenye kujitambua na wenye maono ya mbali, kumbe hali kwa ground ni tofauti sana bwashee.
2. Nilikuwa nadhani wafuasi wa chadema wote ni watu makini na hodari kuwazidi wale wa CCM, Baadaye nimegundua kila chama cha siasa hapa Tanzania kina idadi kubwa ya hifadhi ya wajinga na wapumbavu ndani yake. Ila unyama unyama tu wabishi tunaishi.
7. ni sahihi hata sasa naamini hivyo wenye maneno mengi ni waongo na sio waaminifu(hata wakikopa kurudisha ni ngumu/ni matapeli)
Na hata kwenye mahusiano ni waongo..yani hii ndio sahihi kabisa hujakosea