U ukawa dona JF-Expert Member Joined Feb 8, 2023 Posts 516 Reaction score 887 Nov 2, 2024 #81 Nilikuwa najua mtu MPAKA awe Rais anakuwa na akili kuliko WATU wote kwenye nchi husika, ila nilipopata bahat ya kushuhudia uongozi wa Magufuli Kisha wa Samia, nimeisahihisha akili yangu.
Nilikuwa najua mtu MPAKA awe Rais anakuwa na akili kuliko WATU wote kwenye nchi husika, ila nilipopata bahat ya kushuhudia uongozi wa Magufuli Kisha wa Samia, nimeisahihisha akili yangu.