Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

Malalamiko haya yanafumbiwa macho kila kukicha. Kwa nini hakuna suluhisho mpaka hivi sasa?

Mimi ni mu-RC ila kiukweli hizi jumuiya hazijafit objectives ya kuanzishwa kwake.

Nina imani viongozi wetu ni wasomi mtalifanyia kazi hili jambo. MALALAMIKO NI MENGI
 
Namba nne ni muhimu sana kwa kukua kwa Jumuia yenye afya, upendo na ushirikiano wa karibu, kama umeshindwa hilo basi wewe hufai na ni wakupigwa mawe.
 
Kiufupi maelezo yote hayo naamin ni michango tu ndio shida yako mengine umeongezea ili upate wanaokuunga mkono
 
Tuko wengi, ulichoandika kina ukweli 100% , nina miaka 3 sasa cjaenda huko jumuiya na sitaki waje kwangu
Kwa kweli sipendii kbsaaa jumuiyaa mimii najilazimishaaa tuuu...ukiiendaa kusemana tuu na majunguu...wanatuona sisi tusiendaa kwenye jumuiyaa Kama tuna dhambi mnoooo...unafiki tuu umewajaaaa..na kuchunguza maishaaaa
 
Kama hukubaliana na jamii husika na miongozo yake ni vyema kusepa.
Hapa naona ni ukengeukwaji Ru na ujuaji usio maana.

Kina masanjan the likes wao wanakwambia feel free muendehuko
 
Naona umekubali kuwa hakuna asiye mtumwa. Kwahiyo unachopinga wewe ni utumwa wa dini tu?? Kwanza dini ni nini? Maana isije ukawa unazungumza kitu hukijui maana yake.
 
Kuna mengine nimeacha au yananipa ukakasi mf kitubio, kuabudu msalaba nk by the way sina mpango kuhama RC
 
Kaka huu uzi kwa namna moja ama nyingne umenigusaa yaani hizi nymba za ibada Mungu anawaona watumishi jaman yaani kuna mda brother nawaza nisitoe sadaka nikamtafte tu maskini /asiye jiweza ni mpe tu iyoo sadakaa ila siyo kutoa eneo usikaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji124][emoji124]
 
Kumbe ulizaliwa Agha Khan Hospital?

Ulichoandika kina Ukweli na Mantiki kabisa, Wao ndio wamekuwa watoa hukumu sikuhizi...yaani wanakuwa miungu watu

Hilo lipo hata kwa KKKT
Agha Khan ya Bunda mjini
 
Jamani hapa mada ni kwamba Popoma alizaliwa Agha Khan na sio kuhusu Jumuiya so mjikite katika kujadili ishu ya popoma kuzaliwa Agha Khan.

Naanza kujadili:

KWA mwandiko huu huwezi kuwa umezaliwa Agha Khan labda Agha Khan ya Bunda mjini.


GENTAMYCINE ndio Mtanzania pekee ambae amefika Kawe bila kufika Dar es salaam.

Ugonjwa ulio nao mkuu alie kuroga ni yule aliye waroga wagalatia ambae mpaka sasa hajulikani ni nani.


U live in denial.

Hutaki kabisa kujikubali kwamba wewe ni bushman ambae hujawahi kukanyaga darusalama.


Yani popoma upo radhi uanzishe uzi ukisema uliwahi kubakwa kariakoo mwaka 93 ILI uonekane wewe umewahi kufika dar?

Mbona Hermonize katoka kwao Mtwara na ana heshimika mjini Daslamu?
Jikubali mkuu.

Nyerere alitoka Butiama na aliheshimika Tanzania nzima.
 
Gentamycine ahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MCHAPE NAO CAMP [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi. Tunajenga sana nyumba za ibada siku hizi kwa michango yetu kuliko zamani tulikuwa inategemea Kazungu. Sasa hivi shule na vyuo vinaongezeka
 
Utoto bado mwingi sana ...una ratiba ya kwenda kanisani hapo hapo una ratiba ya kugonga demu

No wonder huwezi jua umuhimu wa JNNK
Ameshasema hajawahi tena kwenda jumuiya miaka mingapi sijui. Sisi tuna jumuiya yetu huku tumeshamaliza kujenga kanisa kubwa sana bila kutegemea mzungu. Sasa hivi tunaanza shule ya msingi then sekondari. Baadae mtoto wa gyntamicin atataka mtoto wake aje asome su mjukuu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…