Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

Lushoto kama lushoto...

One of the best climate in tz
 
Mimi binafsi wilaya ya Mufindi nimepanyoshea mikono hata iweje.
Na ili tuongee lugha moja, ni Lazima uwe umefika Mufindi.
 
Msiwe mnaleta mifano ya takataka humu, mtawavunja moyo vijana!
 
Ila Njombe mwezi huu Kuna joto la kufa mtu.
Pia maisha ni rahisi sana huku...
Njombe maisha rahisi? Kwenye nini yaani? Ila Joto ni kweli hasa usiku, Alooooh.
 
KWangu inategemea na mshahara

Kuna mshahara ukipewa popote unaenda
Mkuu kuna kazi unapata unakuta mshahara unaokunja utawaomba hizo kazi zao wawe wanakuletea uzifanyie huko huko hospitali
 
Mimi binafsi wilaya ya Muhindi nimepanyoshea mikono hata iweje.
Na ili tuongee lugha moja, ni Lazima uwe umefika Mufindi.
Nimewahi kufika Mufindi, aisee lile baridi hapana. Halafu msimu wa baridi ndo ulikuwa unaondoka hivyo.
 
Nimewahi kufika Mufindi, aisee lile baridi hapana. Halafu msimu wa baridi ndo ulikuwa unaondoka hivyo.

Mimi nimewahi kupiita mwezi wa kumi na mbili kuna baridi n hatari
 
Singida kuna mishe gani za kukuingizia kipato?
Biashara yoyote ile unayoiona ipo mkoani kwako ipo Singida na watu wanapiga hela mbayaa.

Ukulima hapa sasa ndio utajiri ulipolala unaweza kuwa tajiri endapo tu ukijikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…