Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimekupata ntalifanyia kaziIla brother Extrovert punguza emoj za kucheka sehem ambayo haichekeshi.. nmekuona mara nyingi mtu anakuja na shida au kuomba msaada na huchangii chochote lakini utapita na emoj za kicheko kwamba umefurahia mkasa wa jamaa.. inakatisha tamaa sana..