Ila brother Extrovert punguza emoj za kucheka sehem ambayo haichekeshi.. nmekuona mara nyingi mtu anakuja na shida au kuomba msaada na huchangii chochote lakini utapita na emoj za kicheko kwamba umefurahia mkasa wa jamaa.. inakatisha tamaa sana..