Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

Mbeya,yaani maji ya bomba kila mahali. Mwandosya alifanya kazi kubwa sana hasa wilaya ya rungwe
 
Mnaosema Iringa mnaongelea iringa ya hapo manispaa tu sio!!

Hovyo kabisa... Watu wanatumia maji ya Ruaha na mifugo
 
Nipo huku mwaka wa sita...maji huku ni changamoto...kuna sehem hayapatikan kabisa...wanatumia ya visima...mbaya Zaid maji ya huku hayako well treated due uchafu wote wa hospital kubwa kama bugando unaelekezwa ziwani...ndo maana huku magonjwa kama typhoid,amoeba na h pylori hayakomi
 
Kwa tuliobahatika kutembea Nchi za wenzetu tunaona hakuna hata mkoa mmoja ambao umejitahidi Kwa huduma ya maji hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…