Hamna...Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna...Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji,
haya Lipia Maji Kadiri Unavotumia huko wamewafungia huku bado..najaribu kuchomekea hako.LUKU- LIPIA UMEME KADIRI UNAVYOTUMIA, hapa mada ni maji
Waliosema hivyo ni watu wa buhongwa hukoKuna usemi kwamba moja ya maajabu ya hili jiji ni kuwa karibu na ziwa lakini kuna shida ya maji
Nipo mwanza mjini pia maji kukatika nilishasahu...Umechapia. Mwanza jiji kuna maeneo watu hata wiki hawayaoni Maji.
Make kwanza nickekeSingida
Na wewe leo toa huo muongozo.
Nipo huku mwaka wa sita...maji huku ni changamoto...kuna sehem hayapatikan kabisa...wanatumia ya visima...mbaya Zaid maji ya huku hayako well treated due uchafu wote wa hospital kubwa kama bugando unaelekezwa ziwani...ndo maana huku magonjwa kama typhoid,amoeba na h pylori hayakomiMwanza
Mm naona Arusha
Wilaya ya chunya, kata ya matundasi yote Haina maji safi na salama, especially Kijiji cha Itumbi na Matondo .Mbeya
Awesome kazi ni kuongeza wanawak... kuoaMaji nchi nzima hii ni majanga Magufuli alijitahidi kidogo Dar ikatulia kwa maji alivyokufa ndio balaa
Hapo anazungumzia Pre Paid water meter. Unalipua kwanza ndio unapata huduma ya maji. Zipo Mamlaka ya Maji Iringa kwingine sifahamuLUKU- LIPIA UMEME KADIRI UNAVYOTUMIA, hapa mada ni maji
Mtasubiri sanahahaha wananchi tunahitaji mita za token