Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

Mbeya,yaani maji ya bomba kila mahali. Mwandosya alifanya kazi kubwa sana hasa wilaya ya rungwe
 
Mnaosema Iringa mnaongelea iringa ya hapo manispaa tu sio!!

Hovyo kabisa... Watu wanatumia maji ya Ruaha na mifugo
 
Nipo huku mwaka wa sita...maji huku ni changamoto...kuna sehem hayapatikan kabisa...wanatumia ya visima...mbaya Zaid maji ya huku hayako well treated due uchafu wote wa hospital kubwa kama bugando unaelekezwa ziwani...ndo maana huku magonjwa kama typhoid,amoeba na h pylori hayakomi
 
Kwa tuliobahatika kutembea Nchi za wenzetu tunaona hakuna hata mkoa mmoja ambao umejitahidi Kwa huduma ya maji hapa Tanzania.
 
Wilaya ya chunya, kata ya matundasi yote Haina maji safi na salama, especially Kijiji cha Itumbi na Matondo .
Huku watu wanakunywa maji yenye sumu!

Kipindu pindu Kila mahali Kila wakati
 

Attachments

  • IMG-20241230-WA0020.jpg
    IMG-20241230-WA0020.jpg
    235.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom