Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

Dunia ya leo unapata mtoto kwa aina nyingi tu asijilizee
 
Ashike mimba halafu immediately atafute mtu india ambebee...awe tu na kibunda... biashara kubwa sana hiyo sasa hivi huko udosini
 
Pesa ilishakata...mapedejee walishatumia sana wakakimbia.
Ashike mimba halafu immediately atafute mtu india ambebee...awe tu na kibunda... biashara kubwa sana hiyo sasa hivi huko udosini
 
Mfumo ndiyo unapenda wabongo wawe na wajadili mambo kama haya

Ova
 
Back
Top Bottom