Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

SURE FIRE ... DONNIE YEN ALIPIGWA RISASI UFUKWENI NA WAUZA MADAWA AKAFA AJABU MOVIE IKAENDELEA ETI
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu umenikumbusha hii movie, hata mimi nilishangaa sana eti Hero wa movie anauliwa na kibabu tu mpaka hasira, ila ghafla nikaona mkono unatokea kwa juu unashusha maandishi, nilicheka sana. wachina sio watu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu umenikumbusha hii movie, hata mimi nilishangaa sana eti Hero wa movie anauliwa na kibabu tu mpaka hasira, ila ghafla nikaona mkono unatokea kwa juu unashusha maandishi, nilicheka sana. wachina sio watu
Ni wajapani aiseee[emoji23] [emoji23]
 
mi kuna movie flan hivi inaitwa
SLP DONNIEN NA SOM HONG
DON anakufa ni bonge la movie
 
Agents of shield,tin wolf,reign kero sana mi nachukiagaa
 
Niaje WanaJF!

Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Movie ya jet li THE BODYGUARD jet li alipigwa kisu cha kifua kutoka kwa adui BILLY CHOW akimuokoa mpenzi billionaire yeung
 
Za Arnold Schwarzenegger,terminator 2 na end of days
 
Ndio Mdau,nilikuwa lonely sana wakati huo,baada ya li kupigwa kisu
Ooh pole mdau,
U lonely ulizidi nahisi hta hukuimalizia,
Hakufa pale,baadae akamrushia kile kisu kikamchoma shingoni adui,
Mwishoni michelle anajaribu kuwahi boda ya china na hongkong kuwahi kumuona allan mara ya mwsho anachelewa na walinzi wanawakazia,anapewa zawadi kwny box anakuta ile saa ya kpnd kileee na bonge po mzee wa kubet anakuta allan kamuachia hela ya kumlipia mwanae ada.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…