TSOTSINawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee.
wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi.
Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa jina la muvi tukazitafute.
Hio avatar yako😂😂😂😂 nmecheka...NERIA....
Hii movie nakumbuka enzi tunaiangalia ilikua n mkanda wa VHS tena tukikodisha.Remember your Mother (Nigerian)
Hii kaa na leso mkononi buda,, hii hata uwe na roho ya chuma ijapokuwa ulizaliwa na mwanamke utalia tu,, upende usipende
Royal Tour.Nawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee.
wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi.
Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa jina la muvi tukazitafute.
Hii movie ilinizidishia upendo kwa Mama yangu 1000x asee wakuu ni balaaRemember your Mother (Nigerian)
Hii kaa na leso mkononi buda,, hii hata uwe na roho ya chuma ijapokuwa ulizaliwa na mwanamke utalia tu,, upende usipende
Darfur
Hii janjaweed wanavyofanya mauaji sudan
Kuna muvi na music 🎶🎵 (vitamin music) hizi hutupa kumbukumbu nzuriii na mbaya......Hii movie nakumbuka enzi tunaiangalia ilikua n mkanda wa VHS tena tukikodisha.
Uncle hapendi tuazime Mikanda ya watu,hiyo siku akakuta tunaangalia nae akakaa chini,toka mwanzo hadi mwishoni
ilifika mahali sebuleni wote kimya kila mtu anavuta makamasi kimya kimya asisikike analia, Tunaemuogopa uncle yakamshinda machozi yakawa yanamtoka akainuka akaondoka nnje tukawa tunamskia analia LIVE LIVE.
Aunt akaondoka na njia yake kulia anapojua,tuliobaki tukaondoka usiku ule hatukufanya maombi ya usiku kila mtu alipita na njia yake ni kama Vile Movie ilienda tonesha kidonda cha kila mtu.
Kwa uncle nadhani ni sababu MAMA yake (bibi) alikua kafariki so nikaelewa movie ilimkumbusha mama ake.
ila ile Movie kama unaiangalia mara ya kwanza na Una Moyo,chozi lazima Umwage yani no discusion REMEMBER YOUR MOTHER story inagusa bwana.
kilikuliza kipi paleSave private ryan
Wanapeana muvi zilizowaliza🤣🤣Wanaume wa daslaam na Uzi wenu huu
Hii inahuzunisha sana, niliitazama miaka mingi ila naikumbuka. Pia movie ingine ni attack on DarfurSaviour
🤣🤣Wanaume wa daslaam na Uzi wenu huu
🤣🤣🤣🤭Wanapeana muvi zilizowaliza🤣🤣