dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 596
- 1,475
Ni movie ipi ambayo uliichukua ukaingalia mara ya kwanza hukuielewa ukarudia mara ya pili ndo ukaelewa, au pengine hata mara ya pili pia hukuelewa ikabidi ulizie kwa watu waliyo iona wakueleweshe.
Mimi zipo mbili, moja ni 1. TENET niliangalia mara mbili ndo nikaanza kuelewa kidogo
2.
Mbili ni MEMENTO, hii movie inachanganya matukio yamechanganywa usipokuwa makini huwezi kuelewa
Mimi zipo mbili, moja ni 1. TENET niliangalia mara mbili ndo nikaanza kuelewa kidogo
2.
Mbili ni MEMENTO, hii movie inachanganya matukio yamechanganywa usipokuwa makini huwezi kuelewa