Ni Movie ipi uli iangalia zaidi ya mara moja ila bado hukuielewa vizuri?

Ni Movie ipi uli iangalia zaidi ya mara moja ila bado hukuielewa vizuri?

Nikipata movie kama za namna hii itakuwa Bora sana
Vivarium film poster.jpg
 
Hii movie juzi nliishia kucheka tu baada ya kujijua nishapoteza MB zangu. Mana pamoja na kukodoa mijicho sina nilichoambulia. Sijui wanacheza game ya kuazimana body, huyu anaingia kwenye body ya huyu. Mara wawili wakafa. Mara sijui wamesalitiana mmoja hataki kurudi mwenye mwili wake tena. Alimuraad nliona chengachenga tu
Me nikidownload movie kwa mb zangu nikakuta movie ni mbaya sikatishi njiani naingalia kwa kupeleka mbele mpaka iishe
 
Alietengeneza movie ya Tenet ndo yule yule alifanya batman za mwaka 2005 nazo ndo vile vile usipokuwa makini hauelewi
Ana nyingine ya kitambo kdgo mwaja 2000 inaitwa memento hyo ndo haileweki
 
Me nikidownload movie kwa mb zangu nikakuta movie ni mbaya sikatishi njiani naingalia kwa kupeleka mbele mpaka iishe
Na mie pia nilifanya hivyo. Lkn aahh nliambulia maumivu.
Nadhani itakuwa inafanana na inception. Japo sijaiona lkn hayo maelezo yake km yanafanana
 
Kuna movie Huwa zinaandikwa mpaka unajiuliza Hawa watu walikuwa wanakusudia Nini, 😁
Series kama black sails unajiuliza lengo la waandaaji kuweka scenes za utupu lilikua ni nini..!! kuna mda hadi umakini unakata kabisa kazi kubwa inakua ni kuforward na kutafuta hizo scene😄
 
Series kama black sails unajiuliza lengo la waandaaji kuweka scenes za utupu lilikua ni nini..!! kuna mda hadi umakini unakata kabisa kazi kubwa inakua ni kuforward na kutafuta hizo scene😄
Aisee🤣
 
Back
Top Bottom