Ni Movie ipi uli iangalia zaidi ya mara moja ila bado hukuielewa vizuri?

hapa naangalia FROM DUSK TILL DOWN ya 1996😄
Noma sana harafu huwezi dhania yule mchizi mwenye miwani ndo aliandika hiyo movie Quentin Tarantino, na Robert Rodriguez ndo akaiongoza hawa watu na wakina machete mwenye visu pamoja na wakina Antonio Banderas walewale sijui wamexico sijui waspain
 
Serbian film, the human centipede na 100 days of sodomy ni risk sana kuzitazama. Watch for ur own risk. Ni filamu zilizopigwa marufuku nchi nyingi duniani . Na zimewekwa kwenye category ya EXIPERIMENTAL FILMS. Haswa hiyo serbian film na 100 days.
Du sodomy tena?,kuna nini humo muvini
 
Noma sana harafu huwezi dhania yule mchizi mwenye miwani ndo aliandika hiyo movie Quentin Tarantino, na Robert Rodriguez ndo akaiongoza hawa watu na wakina machete mwenye visu pamoja na wakina Antonio Banderas walewale sijui wamexico sijui waspain
Kwa haya maelezo basi hii tasnia ni yako🙌🙌.. nje ya mada ni wapi naweza pata ile drama ya kifilipino DESTINED HEARTS ya wakali wangu wa mda wote Kristina Hermosa na Jericho Rosales ambayo ni English dubbed
 
Hii nadhani mpaka kwenye zile site za series pekkee
 
Du sodomy tena?,kuna nini humo muvini
acha kabisa. Usodoma na ugomora. Ni muvi fulani inayoelezea tabia chafu za wenye mamlaka.Mfano hai Tabia kama za silvio berlusconi na kashfa ya ngono na mrembo karima el marghou wa morocco
 
Japo hint tu alikuwa anafanya nini huyu Mzee na huyo mrembo?
 
Back
Top Bottom