Hii si ya jack chan mkuu hukuelewa wapi!?Drunken Master
Hii Serbian ndo ile inapicha za utupu? Au niliangalia Serbian gani hiyo?Serbian film, the human centipede na 100 days of sodomy ni risk sana kuzitazama. Watch for ur own risk. Ni filamu zilizopigwa marufuku nchi nyingi duniani . Na zimewekwa kwenye category ya EXIPERIMENTAL FILMS. Haswa hiyo serbian film na 100 days.
Horror movie hii na Annabelle zote wahusika ni wale waleinsidious
Hii ndo movie naitaka kwa usiku huu niichukue niichek,Hii movie juzi nliishia kucheka tu baada ya kujijua nishapoteza MB zangu. Mana pamoja na kukodoa mijicho sina nilichoambulia. Sijui wanacheza game ya kuazimana body, huyu anaingia kwenye body ya huyu. Mara wawili wakafa. Mara sijui wamesalitiana mmoja hataki kurudi mwenye mwili wake tena. Alimuraad nliona chengachenga tu
Icheki kichwa kikuume 🤣🤣🤣Hii ndo movie naitaka kwa usiku huu niichukue niichek,
The substance 2024Ni movie ipi ambayo uliichukua ukaingalia mara ya kwanza hukuielewa ukarudia mara ya pili ndo ukaelewa, au pengine hata mara ya pili pia hukuelewa ikabidi ulizie kwa watu waliyo iona wakueleweshe.
Mimi zipo mbili, moja ni 1. TENET niliangalia mara mbili ndo nikaanza kuelewa kidogo
2.
Mbili ni MEMENTO, hii movie inachanganya matukio yamechanganywa usipokuwa makini huwezi kuelewa
🤣Mkuu hujaelewa wapi, au yule mrembo alietoka kwa yule mama mgongoni,The substance 2024
Hiyo hiyo. A very disturbing film ever made.Hii Serbian ndo ile inapicha za utupu? Au niliangalia Serbian gani hiyo?