Ni Movie ipi uli iangalia zaidi ya mara moja ila bado hukuielewa vizuri?

Me nikidownload movie kwa mb zangu nikakuta movie ni mbaya sikatishi njiani naingalia kwa kupeleka mbele mpaka iishe
 
Alietengeneza movie ya Tenet ndo yule yule alifanya batman za mwaka 2005 nazo ndo vile vile usipokuwa makini hauelewi
Ana nyingine ya kitambo kdgo mwaja 2000 inaitwa memento hyo ndo haileweki
 
Me nikidownload movie kwa mb zangu nikakuta movie ni mbaya sikatishi njiani naingalia kwa kupeleka mbele mpaka iishe
Na mie pia nilifanya hivyo. Lkn aahh nliambulia maumivu.
Nadhani itakuwa inafanana na inception. Japo sijaiona lkn hayo maelezo yake km yanafanana
 
Kuna movie Huwa zinaandikwa mpaka unajiuliza Hawa watu walikuwa wanakusudia Nini, 😁
Series kama black sails unajiuliza lengo la waandaaji kuweka scenes za utupu lilikua ni nini..!! kuna mda hadi umakini unakata kabisa kazi kubwa inakua ni kuforward na kutafuta hizo scene😄
 
Series kama black sails unajiuliza lengo la waandaaji kuweka scenes za utupu lilikua ni nini..!! kuna mda hadi umakini unakata kabisa kazi kubwa inakua ni kuforward na kutafuta hizo scene😄
Aisee🤣
 
Safi Sana napenda movie zisizoeleweka Ila bado sijazipata bado...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…