Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Blaza blaza blaza nimekuita mara tatu naamini unafatilia hizi old skul hip hop ila hapa sio kwa ushabiki wa kizamani, tuongelee uhalisia. Inaonyesha una chuki na mnyama Ja Rule tu au mahaba yako kwa 50 Cents yamekufanya u-underestimate how legendary Ja Rule is to the Hip Hop Game.

Hatukatai 50 is way better than Ja Rule lkn kusema hakua na hit song zaidi ya New York, kwa maana hakuna ngoma kali ya Ja Rule kuizidi hata hiyo Wanksta ya 50 hapo unamvunjia heshima jamaa.

Labda on your free time kajaribu kuziskiliza na kufatilia hizi pini za Ja Rule na jinsi zilivyopokelewa kuzidi hata hiyo wanksta kwa uchache tu [emoji116]
1. Ja Rule ft. Ashanti - Always on Time
2. Ja Rule ft. Bobby Brown - Thug Lovin'
3. Ja Rule - Live It Up
4. Ja Rule ft. Mary J - Murder Reigns
5. Ja Rule - Down Ass Btch

Zisikilize na uzifatilie stats zake kwa umakini ukiwa umetulia naamini utabadili baadhi ya mitazamo yako. Ikishindikana basi utakua umeamua tu kukaza shingo mwenyewe.
 
Kwenye nyuzi zako Hujawahi fagilia wa kiume hata!![emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mzigo wa Nelly Just A Dream kwangu hakuna ngoma itakuja kuizidi hii
 
Ace of base _ happy nation [emoji95][emoji95][emoji95]
 
Yaan hizo nyimbo ni nzuri ukizifananisha na zipi za 50 labda???
 

We jamaa ni oldskool hasa[emoji119] kwa mara ya kwanza kuona mtu humu Jf kawataja 8 Ball & MJG wahuni kutoka Memphis Tennessee. Bubba Sparrxx wa Ugly[emoji2] Timbaland na Magoo marafiki hawa[emoji2] Bun B wa Put it down[emoji119]
 
Safiii tunataka ligi ya ushindani sio wa kwanza point 70 wa pili 50 wa tatu 26
 
Acha ubishi mkuu baada ya the game kuondoka huoni G unit ilivoyumba na 50 mwenyewe akawa hasikiki tena!
Kwamba G Unit iliyumba kwa Game kuondoka!? Kwani kuna ngoma gani kali ya G unit unayoijua ambayo Game yumo hadi wayumbe kwa kuondoka kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…