Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Kama una stress nenda kwa wanasaikolojia, kucheka inabidi akili iwe imerelax
Waburudishaji ndio wanaoondoa stress, wanasaikolojia wanatibu magonjwa ya akili, stress sio ugonjwa wa akili.
 
wengi wao nikiwaangalia nawaona kama hamnazo...njaa tu ndo inawasumbuaπŸ₯²πŸ₯²
 
K
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nanga mzinguaji sana, jamaa nilikua namkubali toka kipindi kile wana kundi lao wachache tu.
Walikua na content sana
Kundi lao kuna Mussa.. wakusmata na mwingine yule ..

Mbona mpaka sasa wapo poa au ulikua unamaanisha kipindi kile wanajiita serious funny wapo na kina maczube
 
K

Kundi lao kuna Mussa.. wakusmata na mwingine yule ..

Mbona mpaka sasa wapo poa au ulikua unamaanisha kipindi kile wanajiita serious funny wapo na kina maczube
Yaah kipindi kile serious funny
 
Wabisabi wa watubaki yupo vizuri. Pia Konkara wa cheka tu akitulia anaweza kufanya kazi nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…