Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Kama una stress nenda kwa wanasaikolojia, kucheka inabidi akili iwe imerelax
Waburudishaji ndio wanaoondoa stress, wanasaikolojia wanatibu magonjwa ya akili, stress sio ugonjwa wa akili.
 
Kwanza nawashangaa mnapata wapi muda wa kuyaangalia, mi hata nikikutana nao fb huwa naslide next real,
To be comedian you have to be genius and psychic at the same time, bongo mtu akichekesha kijiweni kwao basi anataka awe comedian kwa wote bila kujuwa mazingira, level ya elimu, hobby za watu zinatofautiana.
You have to be genius to get them all
wengi wao nikiwaangalia nawaona kama hamnazo...njaa tu ndo inawasumbua🥲🥲
 
K
😂😂😂😂 Nanga mzinguaji sana, jamaa nilikua namkubali toka kipindi kile wana kundi lao wachache tu.
Walikua na content sana
Kundi lao kuna Mussa.. wakusmata na mwingine yule ..

Mbona mpaka sasa wapo poa au ulikua unamaanisha kipindi kile wanajiita serious funny wapo na kina maczube
 
Wabisabi wa watubaki yupo vizuri. Pia Konkara wa cheka tu akitulia anaweza kufanya kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom