Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hivi 'MIDABANGULO' ni mchekeshaji au ni mtukanaji?Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi