Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At least mwakatobekila ninapojaribu kuangalia, AIBU naona mimi,....waigizaji ili wachekeshe ni mpaka watamke maneno ya kipuuzi,. kama,..kujamba, kupeleka moto, n.k...wavae hovyo na kuwa na unusual facial expressions,...total rubbish 🚮🚮🚮
mkojani,..
clam
tin white
maufundi
steve mweusi
mwakatobe
twins nation
mchina
n.k🚮🚮
Slow thinkers hawawezi kumuelewa Leonardo..Mkuu kwa Leonardo hapo ni wewe kitufe chako.. May be huwa unashindwa ku-capture contents zake
labda kama matusi ni sehemu ya kuchekesha,...At least mwakatobe
Kumbukumbu muhimu maana sio Arusha umesema hivi, Dodoma umesema vile ilihali ni kichekesho kilekile 😁, sometime mwanzo wa script uelekee na kuwa sawa na mwisho wake, it can be short but precise watu wakiona wanajua kuna mtu hapa. Unaweza kutengeneza theme hata suala viatu vyako mwenyewe na uende kwa jamii sasa 😀Aaah SAWA maoni Yako ni mazuri Mimi kama shafii brand naya chukua naenda kuyafanyia KAZI
Sema mwakatobe matusi mengilabda kama matusi ni sehemu ya kuchekesha,...
1. Makongoro Nyerere.Comedian number Moja kwangu ni Makongoro Nyerere tu
Afu huyu kweli, mi naona aache tu hiyo tasnia ya usanii, hamna kitu kabisa kwake.kuna kile kifupi sijui kinaitwa Anko Nzala nacho chenga
Duh mwamba usha conclude.Slow thinkers hawawezi kumuelewa Leonardo..
Sawa Mimi kama shafii brand nimekuelewa nitalifanyia KAZIKumbukumbu muhimu maana sio Arusha umesema hivi, Dodoma umesema vile ilihali ni kichekesho kilekile 😁, sometime mwanzo wa script uelekee na kuwa sawa na mwisho wake, it can be short but precise watu wakiona wanajua kuna mtu hapa. Unaweza kutengeneza theme hata suala viatu vyako mwenyewe na uende kwa jamii sasa 😀
LabdaLeonardo hujaamia kumfatilia jamaa anajua kuchekesha
Hao wanafikiri jamii yetu kama dunia ya kwanza...huko unasema chochote kile, huku kwetu matusi huwa ni sio sana kutokana na ustaarabu wetu. Na wenzetu theme za sex, politics, everyday life routine, racism (kiaina), terrorism, food etc ndo huwa zinapendwa sana kwa ninavyofahamu 😊kila ninapojaribu kuangalia, AIBU naona mimi,....waigizaji ili wachekeshe ni mpaka watamke maneno ya kipuuzi,. kama,..kujamba, kupeleka moto, n.k...wavae hovyo na kuwa na unusual facial expressions,...total rubbish 🚮🚮🚮
mkojani,..
clam
tin white
maufundi
steve mweusi
mwakatobe
twins nation
mchina
n.k🚮🚮
Fatilia clip zake ngapii tu utaniambiaLabda
Naona wengine wanamuelewaNikajua ni mimi tu ndo simuelewi
Huwa naziona sana tuFatilia clip zake ngapii tu utaniambia
Nileteee kitufe nafunga Kumi na Na mbili Unusu niwahi foleni 😂😂😂Huwa naziona sana tu
ndomaana nashindwa kuelewa anafanya nini,...Sema mwakatobe matusi mengi
Hiufanyi delivery?Nileteee kitufe nafunga Kumi na Na mbili Unusu niwahi foleni 😂😂😂