Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

At least mwakatobe
 
Hao siwajui kwasababu nina miaka kama minne mpaka sita hivi sifuatilii haya mavitu. Hatahivyo nimekuwa nikikutana na baadhi ya vichekesho na kwa kuchanganya na vile vya zamani naweza kuweka list ya watu ambao sijaona wanachochekesha
1. Dullavany
2. Joti
3. Steve Nyerere
4. Kuna hawa walioiga staili ya Mwaisa
5. Kuna huyu mwingine anayejifunika blanketi anacheka moja kwa moja
6. Mr Bean
7. Charlie Chaplin


Wachekeshaji ni Mpoki, Mwaisa, McRegan, Ben, John Liver, Muhogo Mchungu nk
 
Aaah SAWA maoni Yako ni mazuri Mimi kama shafii brand naya chukua naenda kuyafanyia KAZI
Kumbukumbu muhimu maana sio Arusha umesema hivi, Dodoma umesema vile ilihali ni kichekesho kilekile ๐Ÿ˜, sometime mwanzo wa script uelekee na kuwa sawa na mwisho wake, it can be short but precise watu wakiona wanajua kuna mtu hapa. Unaweza kutengeneza theme hata suala viatu vyako mwenyewe na uende kwa jamii sasa ๐Ÿ˜€
 
Sawa Mimi kama shafii brand nimekuelewa nitalifanyia KAZI
 
Hao wanafikiri jamii yetu kama dunia ya kwanza...huko unasema chochote kile, huku kwetu matusi huwa ni sio sana kutokana na ustaarabu wetu. Na wenzetu theme za sex, politics, everyday life routine, racism (kiaina), terrorism, food etc ndo huwa zinapendwa sana kwa ninavyofahamu ๐Ÿ˜Š
 
Yote tisa kumi, ndo tuone jamii kubwa ya WaTZ either ni stress au masuala ya afya ya akili, wakikaa kwenye hizi live shows za stand up comedy wanachekeshwa na hawa hawa tunaoona hawachekeshi. Tena wanalipia hela kabisa mara kwa mara. Maybe ni audience wana stress sana au sijui ni nini kwakweli...anyways its all about choices...let me not judge..(thou I think I have)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ