Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

AY ni kama Kagera Sugar. Hajawahi kuchukua ubingwa ila pia hashuki daraja. Ni msanii mwenye uzoefu mkubwa wa kufanya jitihada TEMBO ila matokeo SISIMIZI. Anazo nyimbo chache ninazozipenda.. Yule, binadamu feat. Kirya na machoni kama watu feat. Jaydee.

Baada ya enzi zao kupita kina Temba na Chege nao wamekuwa wakitoa nyimbo za hovyo.
ila we jamaaa moton hapakutoshi
 
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
We mzee huwezi kuwa serious!
 
Back
Top Bottom