Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

screenshot_2024-03-25-22-38-30-1-png.2944688

Wasanii wengine....wanajua kurusha watu-Rap ama kufukafoka
jamiiforums1267461471_387x387-jpg.2572374
 
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
Nitafanyaje ,analeta mapozii,yule yule yule ,mama K
 
Msinipige mawe fans wao 😁

1. Young Lunya, nimejitahidi lakini wapi, vile anatumia speed kuficha weak bars na style yake ya kurap kama anataka kutapika kama version flani ya trap.. Niiteni hater tu 😁

2. D Voice & Mac Voice

3. B2K

4. Mabantu... Hawa naheshimu mafanikio yao kwa kutengeneza club bangers, japo na Matusi yanawasaidia sana, Ila masikio yangu yanachelewa kukubali muziki tricky tricky
 
Msinipige mawe fans wao 😁

1. Young Lunya, nimejitahidi lakini wapi, vile anatumia spead kuficha weak bars na style yake ya kurap kama anataka kutapika kama version flani ya trap.. Niiteni hater tu 😁

Nakuunga mkono 100%. Hiyo namba 2 ni takataka kabisa.
 
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
Duh! Ni vile naheshimu msimamo wako. Ila kumkataa AY inabidi uwe kauzu kama kitu gani sijui.

Ova
 
Msinipige mawe fans wao 😁

1. Young Lunya, nimejitahidi lakini wapi, vile anatumia spead kuficha weak bars na style yake ya kurap kama anataka kutapika kama version flani ya trap.. Niiteni hater tu 😁

2. D Voice & Mac Voice

3. B2K

4. Mabantu... Hawa naheshimu mafanikio yao kwa kutengeneza club bangers, japo na Matusi yanawasaidia sana, Ila masikio yangu yanachelewa kukubali muziki tricky tricky
Em isikilize current situation - YN ft Country wiz
 
Back
Top Bottom